DOWANS (BEHIND THE SHADOWS): What you were not supposed to know...!

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,463
39,929
I came across these documents which to some of you might cause you get angrier (i hope not at me). Our sources have become of late somewhat extraordinarily active. I would argue that these are of vital importance in the ongoing saga involving Tanesco's payment to Dowans Holding SA.

Well, while our eyes and ears were focused in what was going on in ICC arbitration, something else was going in US courts involving Dowans SA and RDEVCO. Well, you have to read the following to know what they didn't want you to know. (they who? dunno!)

But, please read the ruling of the ICC and write down (if you can't memorize) who owns Dowans Tanzania Limited according to those documents (Pg 126 I think). Then, read these documents and ask yourself this question is the Dowans Tanzania Limited a "whole owned subsidiary" of Dowans S.A according the US documents or a company which has minority shareholders according to ICC documents?

In the ICC documents Portek Systems and Equipment is mentioned to owns 40 percent of shares in Dowans Tanzania Limited. In other words Portek International of Indonesia must be aware of its subsidiary's holding in DTL. Please check out the company structure as it stands by the end of 2010.

I might be wrong..for I have within my hands the articles of association of DTL... and u guessed it.

1549kau.jpg


 

Attachments

  • Dowans-Shadows.zip
    3.3 MB · Views: 914
  • portekdowans.png
    portekdowans.png
    36.2 KB · Views: 189
Thanks Mwanakijiji,

Hii ukiisoma na ukaunganisha na ile yangu basi utaibuka na conclusion moja nzuri sana ambayo inaweza kutusaidia...
 
Ningependa kuona kama Mwanasheria Mkuu wa Tanzania angependa kuwa "friend of the court" hapa au hata kuomba kuwa party akiwa na RDEVCO..
 
MM,
Hiyo Zaburi nimejisikia kuwaombea viongozi wetu wa TZ jamani...Mungu uwasamehe na kuwageuza roho zao!!!
 
Hivi ile sheria ya Wahujumu Uchumi ya mwaka 1984 si ingetumika hapa? Wizi mtupu! Hawa jamaa wangekuwa ndani wasingepata muda wa kupindisha viji-sheria namna hii!

Ndio maana tunafurahia maamuzi ya Pombe Magufuli; kama alivyowafanyia jamaa wa samaki na yule mwarabu wa kiwanja Mwanza, kwanza unawaweka ndani halafu mambo ya kesi baadae.
 
MM,
Hiyo Zaburi nimejisikia kuwaombea viongozi wetu wa TZ jamani...Mungu uwasamehe na kuwageuza roho zao!!!

Ee bwana unene nao, wanaopingana nami ....... bwana kuna wimbommoja mzuri sana una-narrate hii zaburi very good song sijui kapiga nani ila ninao.
 
Ndege mjanja hunasa kwenye tundu bovu ?......hivi jamani, vita vya panzi ni furaha kwa kunguru au mafahali wakipigana zinazoumia ni nyasi ? which is which ?
 
Mnasoma na kulinganisha na kuanza kuuona ukweli au mnasoma kuridhisha the intellectual curiosity? Wanasheria wa Tanesco kama wanataka zaidi wanajua pa kutupata.. Ila nina mashaka nao..
 
Ikisoma paragraph ya mwisho "DOWANS C" Tanesco wako liable kwa hukumu iliyotolewa kwani walizuia mitambo kwa barua ya Richmond. Labda na wenyewe Tanesco labda waafungulie Richmond kesi ili deni la hukumu hii lihamie Richmond Mond..ni mawazo yangu
 
Invisible na MMM mmenianzishia mwaka na a lot of homework to read. Sasa naanza kuelewa baadhi ya mambo ya hii serikali.
 
Du! yaani hii kama sinema! Haiishi kwa sababu JK ndiye haswaaaaaaaaa the centre of all this rubbish.
 
Huwa nakaa najiuliza hivi aliyeturoga sie ni nani, pamoja na makanisa lukuki tuliyonayo na ambayo kila siku tunaomba MEMA kwa nchi hii na Afrika nzima lakini wapi???!!. ni laana tu.

Nikisikia na hilo la Rais GBABGO kuendelea kung'ang'ania Ikulu ndo napata kichefuchefu kabisa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom