DOWANS AWARD is unconstitutional

Ruta, I suggest you put injunction on DOWANS CASE, am sure you will get support. Watanzania tuko na wewe.
I thank you ! BIG UP! Sasa kumekucha, umetufungua macho wengi. Nilikuwa GIZANI na namna wajanja walivyojitengenezena wizi wa mali zetu. Tupambane mpaka kielewe!
 
icon1.png
Re: DOWANS AWARD unconstitutional...........abinitio.......

Ruta, I suggest you put injunction on DOWANS CASE, am sure you will get support. Watanzania tuko na wewe.
quote_icon.png
Originally Posted by nsimba
I thank you ! BIG UP! Sasa kumekucha, umetufungua macho wengi. Nilikuwa GIZANI na namna wajanja walivyojitengenezena wizi wa mali zetu. Tupambane mpaka kielewe!

We are a team.....man...........
 
I thank you ! BIG UP! Sasa kumekucha, umetufungua macho wengi. Nilikuwa GIZANI na namna wajanja walivyojitengenezena wizi wa mali zetu. Tupambane mpaka kielewe!

Always knowledge is power...........................
 
nakuunga mkono Bw Ruta na ukiongezea hitimisho la report ya Dr Harrison alisema hiyo kampuni ni fake/brief case company, na infact hao wahusika walitakiwa kuwa wameshtakiwa, wakaishia kumstaki gire wa kariakoo, sasa from that point of view Serikali ina badilika na kuwaonyesha watu hawa ni halali? ni vitu vya ajabu kweli kweli, kisa wao ndio wenye magereza, polisi, na majaji ndio wana teu wao, ushahidi ndio wata peleka wao, brela wana ishikilia wao, wenye kutoa matamko ni wao ag, waziri husika na pm, shimbo wao, intelegensia ya kipolisi wao
 
Ndugu yangu Rutasubayuma, hivi bado unalalama kuhusu malipo ya Dowans?, inamaana mpaka hapa tuipofikia, wewe hujauelewa mchezo mzima?.
Anayedaiwa fidia kasema atalipa sasa wewe unataka nini tena?.

Hivihujagundua hayo majina ya wamiliki pale Brella most ni fictitious names?. The true benefactors wa dowans ni wengine, na amini usiamini, ukiwasikia, huwezi amini!.

Hao Tanesco wamesign mkataba unaotumia sheria za Tanzania lakini wenye vifungu kibao sio tu vinavyowafunga, bali vinavyoifanya sheria yetu iwe redundanty na supremacy ni rules zao!.

Kilichobakia sasa tunataka kuona hao wanasheria wazalendo na uzalendo wao kwa nchi yao. Ukisha sign kuwa rules must be obeyed, thus are the rules of the game, and that is the game people play, the winner takes it all, the looser standing small, and in this matter, the looses are we Tanzanians in general minus the benefisharies ambao pia ni wenzetu!.
Pesa za tozo ya Dowans zimelipwa.
P
 
Back
Top Bottom