DOWANS AWARD is unconstitutional

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,173
There three main areas to default the DOWANS AWARD for being unconstitutional............

1) The illegal ouster of jurisdiction of the Tanzanian courts to investigate the validity of the AWARD......................our constitution is conspicuously trashed when the Arbitration verdict intentionally deterred litigants from seeking legal recourse in case they were dissatisfied by its decision!!!!!!!!!!!!!!!! Time and time again our courts have shown to ignore and jealously protect herself from ouster clauses of her constitutional mandate as the last line of defence to civil liberties which include the locus standi for citizenry to question such an invidious AWARD.............

2) The DOWANS AWARD rewarded conspiratorial acts willfully conducted by civil servants and RICHMOND / DOWANS proprietors at expense of the PROCUREMENT ACT................What the arbitrator inferred was civil servants and her unseemly nemesis represented by cunningly DOWANS were above the Procurement Act of 2004 something that is totally unconstitutional....................Illegal conduct; however, well-meaning it could have been; and this one is a far cry from that, can not and should not be exploited to justify trampling the laws of the land.................Once the arbitrator established the fact that procurement act of 2004 was flouted following neither the Tender Board was involved nor the procurement authority accessed her onus to investigate the scam the legal leeway was to declare the purported deal between Tanesco and DOWANS was a nullity and no amount of window dressing carried out by protagonists could justify the infringements of our laws.........................

3) The legality of RICHMOND was not even raised by Tanesco Lawyers and the arbitrator assumed that Richmond's legal status was not in dispute..............I have always wondered whether Tanesco legal representation there was up to the task or they were compromised to serve personal whims.....................................

HIGH COURT can still be asked to rescind this ignominious AWARD in the public interest.......................we have always to remember Tanesco is and will remain a public institution always tethered by stringiest accountability and few civil servants no matter how closer they are from the center of power can not be permitted hijack Tanesco from public scrutiny for the purposes and intents of sating selfish interests............

NOW THE HIGH COURT IS OUR LAST LINE OF DEFENCE…………….
 
THE DOWANS AWARD IS UNCONSTITUTIONAL! (With Ammendments)

There are three main areas to default the DOWANS AWARD for being unconstitutional. And those areas are as follows:-

1) The illegal ouster of jurisdiction of the Tanzanian courts to investigate the validity of the AWARD......................our constitution is conspicuously trashed when the Arbitration verdict intentionally deterred litigants from seeking legal recourse in case they were dissatisfied by its decision!!!!!!!!!!!!!!!! Time and time again our courts have shown to ignore and jealously protect herself from ouster clauses of her constitutional jurisdiction as the last line of defence to civil liberties which include the locus standi of citizenry to question such an invidious AWARD.............

2) The DOWANS AWARD rewarded conspiratorial acts willfully conducted by civil servants and RICHMOND / DOWANS proprietors at expense of the PROCUREMENT ACT................What the arbitrator inferred was civil servants and her unseemly nemesis represented by cunningly DOWANS were above the Procurement Act of 2004 something that is totally unconstitutional....................Illegal conduct; however, well-meaning it could have been; and this one is a far cry from that, can not and should not be parlayed to justify trampling of the laws of the land.................Once the arbitrator established the fact that procurement act of 2004 was flouted following neither the Tender Board was involved nor the procurement authority accessed her rights to investigate the scam the legal leeway was to declare the purported deal between Tanesco and DOWANS was an illegality and no amount of window dressing carried out by protagonists could justify the infringements of our laws.............It was wrong for the arbitrator to exploit inordinate dilatoriness of the procurement body as a scapegoat to legalize something which was already an illegality abinitio............That quasi-judicial indolence referred here is analogical to a court dismissing a proven thief simply because the complainant did not raise an alarm in due time………..How pathetic and absurd……..

3) The legality of RICHMOND was not even raised by Tanesco Lawyers and the arbitrator assumed that Richmond's legal status was not in dispute..............I have always wondered whether Tanesco legal representation there was up to the task or they were compromised to serve personal whims..................Since it is a poorly held secret, Richmond was never registered locally with BRELLA do we really need an LLB holder to see that that was legal nuclear bomb sufficiently and capably on its own of blowing into smithereens DOWANS' mischief? But when that weaponry was not deployed many eyebrows ought to be raised...................

HIGH COURT can still be asked to rescind this ignominious AWARD in the public interest.......................We have always to remember Tanesco is and will remain a public institution always tethered by stringiest accountability and few civil servants - no matter how closer they are from the center of power - can not and should not be permitted to hijack and insulate Tanesco from public scrutiny for the purposes and intents of sating their own selfish interests............

NOW THE HIGH COURT IS OUR LAST LINE OF DEFENCE…………….
 
Can our lawyers like u Ruta register ur votes in the court of law? You have said right! But ar u ready to take a step? Be bold and match towards justice!
 
Tanescopremitted.jpg

Hebu fikiria ya kuwa kwenye hukumu ya Richmond versus Dowans Tanesco walitambuliwa wanayo haki ya kujitetea lakini hawkuwepa hiyo nafasi kule TEXAS............Hii ni haki wakati kesi hizo mbili kati ya hii na ile ya Dowans zilikuwa zinaingiliana na zilikuwa zinaathiri nyingine..........................Hii ni sababu nyingine ya High Court kuichunguza..................
 
Can our lawyers like u Ruta register ur votes in the court of law? You have said right! But ar u ready to take a step? Be bold and match towards justice!

I am very pleased by your observations...............I am glad to let you know there are four legal companies in Dar working to extricate this nation from this broad-daylight theft surreptitiously engineered by JK.....................................a thief in chief.............................
 
PPA2004.jpg

Huu ndiyo msimamo sahihi wa kisheria ya kuwa kuheshimu sheria zilizopo lakini baadaye tutaona jinsi ambavyo ulivyochakachuliwa..................
 
PPA20042.jpg

Hapa ndipo uchakachuaji wa sheria ya manunuzi ulipoanza........................ni makosa kusema eti sheria lazima ikatae utartibu kama huu walioutumia tanesco na Richmond/Dowans.........................sheria ikiisha kusema manunuzi yote ya serikali ni lazima yaidhinishwe na Bodi ya manunuzi moja kwa moja inamaanisha ya kuwa huwezi ukatumia utaratibu mwingine kama ule ambao Edward Loawssa aliuutumia wa kupindisha sheria na kutumia kiumbe kiitwacho GNT...................yaani Government Negotiating Team.............hata kama ilijazwa makatibu wakuu wa nishati, Fedha, ofisi ya Ag n.k..............chombo hicho hakitambuliwi na sheria yetu ya manunuzi na hivyo kimekatazwa.........................................matendo ya watendaji serikalini wakishirikiana na maswahiba wao wa Richmond/ Dowans hayawezi kuhalalisha uvunjaji wa sheria kwa sababu wahusika hao hawako juu ya sheria za nchi hii...................simple and clear.........
 
I am very pleased by your observations...............I am glad to let you know there are four legal companies in Dar working to extricate this nation from this broad-daylight theft surreptitiously engineered by JK.....................................a thief in chief.............................

Kashfa ya Dowans itaondoka na Mwizi mkuu mwenyewe.
 
PPA20042.jpg

Hapa ndipo uchakachuaji wa sheria ya manunuzi ulipoanza........................ni makosa kusema eti sheria lazima ikatae utartibu kama huu walioutumia tanesco na Richmond/Dowans.........................sheria ikiisha kusema manunuzi yote ya serikali ni lazima yaidhinishwe na Bodi ya manunuzi moja kwa moja inamaanisha ya kuwa huwezi ukatumia utaratibu mwingine kama ule ambao Edward Loawssa aliuutumia wa kupindisha sheria na kutumia kiumbe kiitwacho GNT...................yaani Government Negotiating Team.............hata kama ilijazwa makatibu wakuu wa nishati, Fedha, ofisi ya Ag n.k..............chombo hicho hakitambuliwi na sheria yetu ya manunuzi na hivyo kimekatazwa.........................................matendo ya watendaji serikalini wakishirikiana na maswahiba wao wa Richmond/ Dowans hayawezi kuhalalisha uvunjaji wa sheria kwa sababu wahusika hao hawako juu ya sheria za nchi hii...................simple and clear.........

Haya sasa CCM njoni na hoja kwa mwanasheria wa walalahoi,
 
Ndugu yangu Rutasubayuma, hivi bado unalalama kuhusu malipo ya Dowans?, inamaana mpaka hapa tuipofikia, wewe hujauelewa mchezo mzima?.
Anayedaiwa fidia kasema atalipa sasa wewe unataka nini tena?.

Hivihujagundua hayo majina ya wamiliki pale Brella most ni fictitious names?. The true benefactors wa dowans ni wengine, na amini usiamini, ukiwasikia, huwezi amini!.

Hao Tanesco wamesign mkataba unaotumia sheria za Tanzania lakini wenye vifungu kibao sio tu vinavyowafunga, bali vinavyoifanya sheria yetu iwe redundanty na supremacy ni rules zao!.

Kilichobakia sasa tunataka kuona hao wanasheria wazalendo na uzalendo wao kwa nchi yao. Ukisha sign kuwa rules must be obeyed, thus are the rules of the game, and that is the game people play, the winner takes it all, the looser standing small, and in this matter, the looses are we Tanzanians in general minus the benefisharies ambao pia ni wenzetu!.
 
Hili sasa tuna usahidi nalo na nitaliweka jamvini hivi punde.................................
 
RichmondDowans.jpg

RichmondDowans2.jpg

RIchmondDowans3.jpg

Katika hukumu ya Dowans versus Richmond iliyotolewa kule Texas tunajifunza yafuatayo:-

a) Dowans ni wamiliki wa DOWANS(T) kwa asilimia mia moja..................

b) Wanahisa wa DOWANS kampuni tanzu iliyoko Marekani wapo watatu tu tu na hao wote ni raia wa marekani ikimaanisha ya kuwa ile orodha aliyoitamka Waziri wa Nishati na Madini ngeleja ilikuwa siyo ya kweli. Kwa lugha nyingine ni kuwa hao wakurugenzi wa DOWANS(T) ilichakachuliwa ili kumlinda mtu...............................a Thief in Chief.......................
 
ousterclauses.jpg

Kubwa hapo tunaona ujanja wa watumishi serikalini, Tanesco na wamiliki wa Dowans kujaribu kuondoa mahakama kuu kama katiba yetu isemavyo kuweza kuuchunguza mgogoro huu endapo jamii ya watanzania haikuridhika...........lakini wajanja hawa ni wepesi kwenda wao Mahakama hiyo hiyo kuu ili kuipa hukumu yao nguvu za kisheria huku hawataki Mahakama hiyo hiyo iwe na mamlaka ya kuchunguza makubalianao yao....................................

Well, Tanesco, A.G na Dowans be forewiarned that you can not eat your cake and claim you still have it.............we are coming after you and we will expose this grand official graft..........................and it will be at yourown cost........................
 
RostamAziz.jpg

Hivi ilikuwaje Rostam Azizi apewe "POWERS OF ATTORNEY" na DOWANS wakati yeye siye mmiliki wa kampuni hiyo na wakurgenzi wasajiliwa hapa nchini walikuwepo? Unless on or all of the Directors in the DOWANS (T0 were mere proxies of Mr. Azizi.......

Hili ni swala nyeti katika kuchimbua ni nani haswa ni wamiliki wa ODWANS (T)? haiwezekani watu wakalipwa tu huku tunaletewa orodha feki ili kuwalinda wenye hiyo Kampuni mazingira ambayo yanaashiria ufisadi mkubwa hapo...........................
 
Katika hukumu ya Naiman Moiro v. Naijalet Zablon Pangameza [1980] TLR 274 Mahakama ya Rufaa ilitamka hakuna kutumia Powers of Attorney kama mmiliki au mhusika yup nchini na hapa DOWANS (T) walikuwepo nchini sasa hizi za Rostam zilitoka wapi?
 
Ndugu yangu Rutasubayuma, hivi bado unalalama kuhusu malipo ya Dowans?, inamaana mpaka hapa tuipofikia, wewe hujauelewa mchezo mzima?.
Anayedaiwa fidia kasema atalipa sasa wewe unataka nini tena?.

Hivihujagundua hayo majina ya wamiliki pale Brella most ni fictitious names?. The true benefactors wa dowans ni wengine, na amini usiamini, ukiwasikia, huwezi amini!.

Hao Tanesco wamesign mkataba unaotumia sheria za Tanzania lakini wenye vifungu kibao sio tu vinavyowafunga, bali vinavyoifanya sheria yetu iwe redundanty na supremacy ni rules zao!.

Kilichobakia sasa tunataka kuona hao wanasheria wazalendo na uzalendo wao kwa nchi yao. Ukisha sign kuwa rules must be obeyed, thus are the rules of the game, and that is the game people play, the winner takes it all, the looser standing small, and in this matter, the looses are we Tanzanians in general minus the benefisharies ambao pia ni wenzetu!.

Penye red: Na ndiyo maana akina Ruta na Watanzania wengi wanataka Dowans wasilipwe. Lazime wenye uwezo wafanye jitihada hizi haraka, hata kuweka injunction High Court kuzuia kulipa kwanza hadi shauri la msingi lisikilizwe. Twajua akina RA wanataka walipwe haraka kabla ya kikao cha Bunge ambacho anafahamu fika kwamba Bunge la safari hii lina sharpest tongues ever!!!

Kazi kubwa RA anayofanya sasa ni kulainisha kwa pesa sehemu ambozo zina kutu -- kuna watu, wamelipwa no doubt, (na mmojawapo ni yule profesa kuwadi Bana) kutoa statements zinazosema eti serikali haina njia, italazimika kulipa na kwamba in future iwe makini katika kuingia mikataba na makampuni ya nje.
 
I thank you ! BIG UP! Sasa kumekucha, umetufungua macho wengi. Nilikuwa GIZANI na namna wajanja walivyojitengenezena wizi wa mali zetu. Tupambane mpaka kielewe!
 
Back
Top Bottom