bokassa
JF-Expert Member
- May 19, 2007
- 401
- 11
sorry, naomba mni-update kidogo, nini kimetimia??
Hata mimi waminichanganya!!!!!!
sorry, naomba mni-update kidogo, nini kimetimia??
ipo sasa TBC1 na wanaongea na simu na idriss Rashid kwa kweli mungu ashukuruwe kwa wingi wa rehema zake.hatimaye tumeshinda watz.kuhusu suala la malipo kasema ni hatua ya pili.Dr. Iddriss Rashid katoa Press Release LEO ambayo inaonesha kuwa mkataba huo hautokuwepo kufikia August mosi mwaka huu. Najua hii ni habari njema kwa walio wengi na mbaya kwa wachache.
Taarifa zaidi tutafahamishana hapa.
Kwa wanaoangalia TBC wanaweza kuona hii habari muda si mrefu
na waziri Ngekeja kadhibistishaulikuwa ni mkataba batili na wanatakiwa waondoe mitambo yao ifikapo agust mosi.Honera kamati ya Mwakyembe
Hivi jamani huyu Ngeleja si alikuwa wizara hii hii (wakati wa kusaini mkataba)!! sasa nini tena leo anasema "wamegundua" mkataba ulikuwa "fake", jamani huyu Ngeleja si ni yule mtaalamu wa masuala ya sheria!? Jamani hii imekaaje!
Mi binafsi sikubaliani na maelezo mepesi namna hii, ninachotaka bunge litengue kile kipengele cha sheria kisha mjadala ya Richmond urudiwe tena kujadiliwa!! Mpaka mchawi apatikane!!
na waziri Ngekeja kadhibistishaulikuwa ni mkataba batili na wanatakiwa waondoe mitambo yao ifikapo agust mosi.Honera kamati ya Mwakyembe