Dovutwa wa UPDP, keshanunuliwa?

Huyu naye bado yupo? Bila kuisema CDM hujapata msaada kutoka CCM hivyo hatushangai kuibuka kwake!
 
Utalii wa Bahari, Beach ndio mkubwa duniani kote, watalii wanahitaji kupumzika kwenye Holiday Beach Resorts na sio mbugani mwituni na wanyama, labda wapenda adventure ambao ni asilimia ndogo sana huendanda mbugani kupiga picha.
Tanzania inasubiri nini kuendeleza Bahari yake ili ipate share yake ya Bahari kama Kenya, Misri, Mauricius, Seychells, Madagascar, South Africa na sasa Msumbiji, Zanzibar wako juu kwa hili.
Bahari yetu mikoa yote ni safi, inakubalika, Dar peke yake ina beach na visiwa vidogo vizuri sana, kuliko hata ile ya Mnemba kazkazini ya Unguja ni kama heka tano tu, na wanakuja kupumzika kila mwaka Bill Gates, Clinton na Will Smith na watu wote wenye pesa nyingi duniani, kwani imejengwa mabanda ya asilia ili mabilionea waionje nature, bei yake bora nisiseme.
Kwanini hilo linashindikana bahari ya Tanganyika? kama kuna wachache wajanja wanaozuiya ardhi ya beach si kuna uwezekano wa kuingia joint venture na makampuni makubwa ya nje ili japo ajira ya vijana wetu ipatikane? MABILIONI HAYA TUNAMWACHIA NANI???
 
Loh. Kazi kweli kweli. Kuna habari iliandikwa hapa kuhusu waziri gaudensia kabaka kuzuia kamati ya maadili ya bunge chini ya Jenestet Mhagama kutembelea kiwanda kimoja hapo dar chenye mgogoro na wafanyakazi kwa kisingizio kuwa kuna kesi mahakamani. Ni baada ya mbunge Sugu wa Chadema yuko kwenye hiyo kamati kushinikiza ndio kamati ikaenda na kubaini kuwa hakuna kesi wala nini. Sasa huu ni mfano mdogo tu wa kkuonyesha jinsi CDM wanavyosaidia watanzania ambao mfumo wa chama kimoja umewaacha bila haki. Dovutwa njaa ya siku moja itakuondolea heshima yako ya milele
 
Back
Top Bottom