Dovutwa: Kikwete jiuzulu urais

Dah......hela ishakatika tayari......njaa bana haina adabu....leo hii ndio anaijuwa rushwa?

mwambene%2B604.jpg
 
Huyu si ndio alikuwa mgombea urais ambaye hata mama yake mzazi hakumpa kura yake. Sasa hata mama mzazi hakuungi mkono katika siasa zako kuna kitu hapo zaidi ya kutapatapa na kuganga njaa. Nadhani anamkumbusha kikwete kwamba bado hajampa kamgao kake kwa kumuunga mkono 2010.

kaka saluti mia mia yani hata mama yake alimkataa kweli jamaa alikuwa janga la kimataifa wala si kitaifa
 
Back
Top Bottom