Dotnata

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,040
21,513
Ni vipi waungwana? Natumaini wakuu wote mu wazima mkiwa mmetulia kabisa majumbani(perhaps wakuu vijana wanaelekea leaders kumwona luda). Ni mda umepita kidogo nilisoma gazeti moja hivi likimnukuu dotnata akisema anataka kujiunga na freemasonry,je kuna mkuu yeyote mwenye update ya hili swala? Ivi pia ningependa kujua ni kwanini watu maaruf ndio wanapenda kujiunga na hao waabudu mashetani? Naomba mwongozo tafahali!
 
uzushi,

Dot naye ni maaruf hapa tz, eeh!, au wewe ndo dot mwenyewe?!
 
Nasikia free mason ni wanaume tu, je na akina mama wanaingia ktk ibada hizo???????????
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom