Dotnata apata baraka Nigeria za kufungua kanisa

kwani akiokoka na kwenda kusali kwenye makanisa ya wenzake atapungukiwa nini?
 
Hela nashika mwenyewe. Sadaka ni kwa mpesa na bank transfers. Asprin wewe huvuti bhange, fungua kanisa la walevi wastaafu utapata kichele arifu

mama mchungaji unatakiwa uwe na muda wa kutosha kuandaa mahubiri so mie najitolea kuwa wakala wa mpesa na akaunt yangu ya benki itatumika kupitisha michango.uwe na amani ya bwana.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom