Dotnata apata baraka Nigeria za kufungua kanisa

Gomesa

Member
Oct 11, 2012
23
1
Mwigizaji na mfanyabiasha na aliyewahi kuwa mwanamuziki Dotnata Poshi, amesema kwa sasa ameaokoka kabisa na kuamua kufungua kanisa kubwa lengo likiwa kuwashawishi wasanii wenzake kuachana na maasi na hatmaye kumrudia mungu. Dotnata ambaye alianza kwa kufafanua jina lake alisema watu wengi.Soma zaidi Kweli huu ni wakati wa mwissho.
 
Duuuu . kama ni kweli basi utukufu kwa Mungu
 
Mine is an ordinary mind, can't figure out!, another door to business.....!!!????,Nigeria????, all the best
 
Huyo ni mfanya biashara tu! Kubwa anacho jali ni kupata pesa, na kufungua kanisa ndio biashara inayolipa kwa sasa. huyo mama mjanja tu anajuwa Wajinga ndio waliwao.

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk 2
 
Baraka toka nigeria ?????? Biashara hii inalipa sanasana na atawapata wanaoyumbishwa imani makanisa ya ukweli ni litherun,anglican,catholic na sabato wengine wote ni biashara na kuganga njaaaaaaaaaa
 
Baraka toka nigeria ?????? Biashara hii inalipa sanasana na atawapata wanaoyumbishwa imani makanisa ya ukweli ni litherun,anglican,catholic na sabato wengine wote ni biashara na kuganga njaaaaaaaaaa

umesahau uamusho
 
Baraka toka nigeria ?????? Biashara hii inalipa sanasana na atawapata wanaoyumbishwa imani makanisa ya ukweli ni litherun,anglican,catholic na sabato wengine wote ni biashara na kuganga njaaaaaaaaaa

Kwani hujui! Huko ndiko wanakofundishwa jinsi ya kuwaibia kwa uongo wa uponyaji.

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk 2
 
........... Kaokoka nani? Dotnata? ......... anyway anayejua kama ameokoka ni MUNGU pekee...... lakini Mwaitege aliimba utanitambuaje kama nimeokokaaaaaaaaa? Matendo... jamani matendo.... matendo...... utanitambua eeeeh! nadhani kuna watu wanaofanya mzaa na wokovu.... wokovu si lele mama! bado ana misalaba mingi inayomsumbua, ana ndoa ya kiislamu, anajina la Kiislamu Husna....... Nigeria amekwenda kwa ajili ya kutafuta mtoto..... kuombewa........kwa T. B. Joshua............ maana umri umekwenda yuko early 50s..........
 
Biashara ya catering ameona hailipi kivile sasa anafungua kanisa! ila kiukweli biashara ya kanisa inalipa sana,ona mama rwakatare,mzee wa upako,nabii na mtume mwingira,Gwajima mambo yao supaaa!

Napendekeza ajiite: TB mtume na nabii Dotnata
 
Maweeeee!
Na mie ntafungua la wavuta bhange aisee. Naomba mods mhakikishe business ideas haziibiwi humu!
 
Hela nashika mwenyewe. Sadaka ni kwa mpesa na bank transfers. Asprin wewe huvuti bhange, fungua kanisa la walevi wastaafu utapata kichele arifu
Kama ndo mpango wa kuingilia kazi za watu namna hii......

Sichezi tena na wewe, una mikono michafu!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom