Elections 2010 Dosari za Magufuli hizi hapa

Nakubali kila mtu ana madhaifu yake lakini mi nafikiri kiongozi tunayemtaka si maghufuli kama kuwa waziri mkuu ni bora yeye kuliko sura mbaya. Lakini ukisema kuwa kiongozi wa nchi HAFAI. Kati ya wana CCM bora yeye. Lakini kati ya watanzania hana Kiwango kama Dr. Slaa.
Maghufuli aliuza nyumba za serikali na hajajutia hilo make ni fisadi mdogo kati ya mafisadi.
Maghufuli kwa kuwa alikuwa waziri wa barabara alibadilisha njia ya Lami iliyokuwa ipitie Biharamulo ili ipite nyumbani kwao Chato
Kwa kuwa ni waziri karibuni alitaka kubadilisha makao makuu ya mkoa mpya wa Geita iwe nyumbani kwao Chato.
HAFAI ila ni bora kuliko Mr. Handsome Pinda make haangalii sura ya mtu akitaka kufuatilia jambo.

muache uongo, kama kweli magufuri alipindisha barabara mbona tangia kikwete aingie madarakani mbona hajaijeng hiyo sehemu iliyobaki? Najua sehemu ya Bwanga -Biharamulo ni km 45 tu.
Musipende kuendekeza hadithi za uwongo, ukiangaliafinal doc ya ujenzi wa barabara kati ya geita,to muleba ianonyesha ingepita chato. Kama huamini njoo wizarani hapa Tanroads siku ya Ijumaa nitakupa document.
 
..kwanza arudishe nyumba ya serikali aliyoiba/kujiuzia kwa bei ya kutupa.

..baada ya hapo aombe radhi kwa kutumia madaraka yake vibaya ktk zoezi zima la uuzwaji/wizi wa nyumba za serikali.

..akifanya hivyo wapenda mabadiliko kama mimi tutamfikiria.
 
Back
Top Bottom