Don't watch this video!

Shori kama Cythia masasi......

Nyani ngabu unalala saa ngapi? kula saa ngapi? na huyo cupcake wako mna manufacture saa ngapi? kila wakti nakukuta humo humo......


Ama kweli nyani haoni kundule...sasa wewe kama unamuona cupcake online na wewe si maana yake unakuwa online?....
 
Mzee Suki,

Unayaona magari hayo? You need to get one for a spin! Au ndiyo wenzetu bado mnatumia basikweli kusafiri!!?
 
Duh nimeipenda hiyo 300 na spider doors. NN vipi bado una 1972 Donk yako?
 
Picha ni nzuri sana! Nadhani ni wakati wa serikali kuachana na maBMW na kutumia magari haya, tena hawa warembo ndo wawe madereva



YANA MWISHO....(Kitabu cha KULI)
 
Picha ni nzuri sana! Nadhani ni wakati wa serikali kuachana na maBMW na kutumia magari haya, tena hawa warembo ndo wawe madereva



YANA MWISHO....(Kitabu cha KULI)

Swali ni kwamba ukiwaajiri utaweza kuwalipa? maana hawa hawafanyi kazi kwa deni! Kama madereva wa wabunge wetu!

Duuh! Ughaibuni kuzuri jamani..asikuongopee mtu!

SteveD tuvute basi na wengine! Au ndo ule msemo kwamba aliye juu mngojee chini? kwa mwendo huu..mnaweza msirudi chini! Inabidi tuwafuate huko huko...
 
Back
Top Bottom