Don't watch this video!

.....huh? Halafu bado unajiita Mkjj :confused:
.....kijiji gani wanaendesha magari kama hayo wewe bwana?!!
.... bora ubadili jina na kuwa "Mtoto wa Mjini" ........lol
.....ungelienda kwenye maonesho ya show ya matrekta na ma-combined harvester wanakijiji wenzako tungekushukuru.
.....video kama hiyo itasababisha ma-EPA, ma-BOT mengine tu, unajua tamaa za viongozi wetu wakiona mambo kama hayo na jinsi vile wanavyopenda kuiga hata kwa vile wasivyo vimudu.

.....btw, nimecheka sana pale uliposema kuwa huyo dada anatudanganya tu.... lol, waliomweka pale walijua kuna baadhi yenu mtakuwa mnaangalia miguu yake badala ya hilo gari na kudhania kuwa kila kitu anachokiongelea kinahusu mwili wake.... knot to 60m/h in 3 sec akiwa sebureni n.k. lol :) :) :D
 
Shori kama Cythia masasi......

Nyani ngabu unalala saa ngapi? kula saa ngapi? na huyo cupcake wako mna manufacture saa ngapi? kila wakti nakukuta humo humo......
 
....it took you a while.. lol,
....mambo ya kibs ni kuona perspiration iko enhanced by wearing less clutter

i had just woke up i when posted that comment....and i was like what the hell is Kibs talkin bout...this is very unlike Kibs....then i remembered his expertise and knew what he was talkn bout
 
Oh snap!! ya'll sick basi nilikuwa nafanya utafiti:

mpya%20028.jpg


Hilo toyota ni gari zuri sana kuliendesha, at least ukiliangalia kutoka nje.

mpya%20046.jpg


Ukiliangalia hilo hasa kwa nyuma inatosha kutumika kwenye uwanja wa magari yaendayo kasi (racing track)

mpya%20047.jpg


Hata magari madogomadogo yalikuwepo pia. Na milango yake inafunguka kwa urahisi kabisa.
 
Oh snap!! ya'll sick basi nilikuwa nafanya utafiti:



Hilo toyota ni gari zuri sana kuliendesha, at least ukiliangalia kutoka nje.

Ukiliangalia hilo hasa kwa nyuma inatosha kutumika kwenye uwanja wa magari yaendayo kasi (racing track)


Hata magari madogomadogo yalikuwepo pia. Na milango yake inafunguka kwa urahisi kabisa.

You are sick and irreparable son!! :D
 
..credit crunch hii mzee, chukua endesha tu kwa mkopo, zero finance yakhe, lipa 2017 wakati obama anatoka black house na credit turmoil imesha isha !!! :D
kama mkpo hata kesho nakwenda kukopa lakini sina colateral.......nikiwa nalo mjini hapa mbona woote wangu
 
Kesho naenda kwenye maonesho mengine nikiendelea na utafiti wangu wa hali ya kiuchumi hapa Marekani. So..
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom