Elections 2010 Don't waste your vote choose the best combination

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,271
1. Dr. Willibrod Slaa and Rashid Hamadi [Christian & Islam-Fair State]

2. Jakaya Kikwete and Dr. Mohamed Bilal [Both are Islam-Islamic State]
 
Quinine,
Naomba dini isiwe kigezo cha kumchagua mtu. Tumchague mtu kwa sababu ameshaonyesha uwezo wa kuisogeza mbele na kupambana na ufisadi/udhalimu katika Tanzania yetu.
 
Quinine,
Naomba dini isiwe kigezo cha kumchagua mtu. Tumchague mtu kwa sababu ameshaonyesha uwezo wa kuisogeza mbele na kupambana na ufisadi/udhalimu katika Tanzania yetu.
Haya maneno mwambieni kwanza MS mimi naiga kwake tu ndugu yangu, nimeona hakuna mtu anayemwambia. Nilijaribu kumwambia aachane na udini nikaambiwa na members akiwemo Pasco eti ni uhuru wake kutoa maoni, je huo uhuru mbona uko kwa MS tu au mimi mgeni humu JF haunihusu.

Nimejitolea kusulubiwa na Mods kama Mandela kwa ajili ya wale wanaoogopa kujibishana na MS kuwa wataonekana na wao ni kama yeye acha mimi nionekane na akili kama zake.
 
Mods, tafadhari fungeni hii mijadala yenye sura za kidini. Naamini JF haiko bound na dini, kabila, wala rangi. Tukianza kuongelea mambo ya dini baadaye tutaongelea makabila na mikoa tunayotokea. Na huo utakuwa ndo mwanzo wa kuanza kuana kwa misingi ya kikabila au dini zetu.
 
.....duh uwazi na ukweli...yaani umeamua kuweka wazi kwanini umejiita QUININE.....yaani umekuja kupambana na MALARIA SUGU.........
 
Guys; kwa nini unaogopa dini; tuko ndani already; na watu hasa watawala wanatumia dini; angalia ILANI YA CCM 2005; utaona dini ilikuwa kigezo; je sasa sio kigezo tena kwao; can someone confirm au imefutwa kipendgele watu wasipige kelele; let us discuss na mimi naomba MODS asiwe anafuta au kuhamisha mada kwa utashi wa watu wachache; kama dini inakuuzi; kaa kimya; this obviuos kama lengo ni utaifa kwa nini utaifa uwe upande mmoja tu; naona JF washabiki wamezidi mbaya zaidi wanakuwa waoga wa hoja; WE DARE TO TALK OPENLY is our motto unless changed
 
Mods, tafadhari fungeni hii mijadala yenye sura za kidini. Naamini JF haiko bound na dini, kabila, wala rangi. Tukianza kuongelea mambo ya dini baadaye tutaongelea makabila na mikoa tunayotokea. Na huo utakuwa ndo mwanzo wa kuanza kuana kwa misingi ya kikabila au dini zetu.
Vangi

Haya maneno mwambieni kwanza Malaria Sugu na Tumain ambao ni member wa muda mrefu waache kutupeleka huko kwenye udini vinginevyo na mimi nimeamua kuwa na akili kama zao. Si kuwa sielewi ubaya wa mambo haya lakini wanaohusika kuyarekebisha humu wako kimya.

JF rules should be operative seem to be dormant and shall one rule for MS and one for all members. Ofcouse every one is free to express his/her opinions lakini uhuru bila mipaka ni wendawazimu. Mipaka yetu tuliyojiwekea humu ni JF Rules sasa kama zikivunjwa waziwazi na wanaotakiwa kuzitunza wanaangalia, tuna sababu gani kuzipigia kele mahakama zetu kuwa hazifanyi kazi kwa haki? tutakuwa tunapoteza muda bure kuzilaumu wakati sisi wenyewe hata sheria zetu chache tumeshindwa kuzitekeleza.

Je Mods wakikosea nani atawahukumu au atawaambia au atawarekebisha? ni sisi members, niko tayari kusulubiwa kwa kuirudisha heshima ya JF inayoelekea kupotea, tumeimba sana Malaria Sugu na Tumain waache mambo ya dini lakini hatusikilizwi. Wako huru kushabikia chama chochote lakini si kueneza udini. Kama mkiona Quinine amefungiwa mjue MS na Tumain are untouchable.
 
Pumbafu we ndo umeharibu kuliko huyo ndugu ya MS

Daaaa?? Mkuki kwa nguruwe......teh tehehhhh

Naamini Quinine + Malaria Sugu = Afya tele, no malaria at all.. so maisha yatasonga, I like the combination well balanced!
 
1. Dr. Willibrod Slaa and Rashid Hamadi [higher IQs - will develop TZ]

2. Jakaya Kikwete and Dr. Mohamed Bilal [smaller IQs -have and will fail TZ even further]
 
Daaaa?? Mkuki kwa nguruwe......teh tehehhhh

Naamini Quinine + Malaria Sugu = Afya tele, no malaria at all.. so maisha yatasonga, I like the combination well balanced!

umeipenda combination hipi sasa, hiyo ya maraisi au hii ya

MALARIA SUGU+TUMAINI (la kupona)+QUININE= afya
 
Pumbafu we ndo umeharibu kuliko huyo ndugu ya MS
Mimi huwa situkani ila nagawa vidonge bure wanafikiri tanzania kuna dini moja tu, rais makamu wote dini moja bara na visiwani why?
 
umeipenda combination hipi sasa, hiyo ya maraisi au hii ya

MALARIA SUGU+TUMAINI (la kupona)+QUININE= afya

Kituko,
Combination niliyo ipenda ni ya hoja za MS zinapokutana na majibu ya Quinine bas ugonjwa unapona kabisaaa..

Unajua ndugum, hapa kuna watu wako kibaruani kuvuruga mada zenye tiuja zisiende mbele.. sasa dawa ikipatikana kwanini tusifurahie?

Hao wateule hata mtoto wa darasa la nne atakwambia the best combinationi ya Dr. Slaa...
 
Back
Top Bottom