"dont think am stupid"

MTITIMA

Member
May 31, 2011
23
4
Habari zenu wadau
Juzi tulikuwa tunazungumza na mpenzi wangu katika maongezi kuna story nikawa namsimulia then nilipomaliza akaniambia "hivi we utajisikiaje endapo mtu unaempenda anakudanganya"?nilichomuuliza ni kuwa unadhani nilichokuwa nakwambia nakudanganya? Akabisha basi nikamwambia mama mi sio stupid hivyo nisielewe unachomaanisha.
Basi ilo neno stupid mwanamke kang'aka akaniambia kama unaona mi nakuona wewe mjinga basi samahani naomba tuachane
Akakata simu then akazima
Toka juzi mpaka leo hapokei simu yangu wala hajibu sms zangu.
Jamani hivi hili nalo ni kosa la watu kuachana kweli?
 
Huyo alikua anatafuta "exit door" muda mrefu tu, wewe ndo umemsaidia kumuonyesha!!
 
Wakati mwingine watu wanaachana kwa mambo ya kipumbavu mno!!! Nimeshaona ndoa inavunjika kisa sufuria ya ugali. Sufuria ya ugali ikazaa ugomvi mkubwa mpaka amani kupotea ndani ya nyumba na mwisho ndoa kuvunjika. Kama unampenda kiasi hicho mfuate kwake/kwao au kazini/chuoni mkae chini ili muongee kwa kituo kama atakuwa tayari kukupa nafasi hiyo, vinginevyo kuna njemba nyingine imeshakuwekea kauzibe...WE URIE TU!

Habari zenu wadau
Juzi tulikuwa tunazungumza na mpenzi wangu katika maongezi kuna story nikawa namsimulia then nilipomaliza akaniambia "hivi we utajisikiaje endapo mtu unaempenda anakudanganya"?nilichomuuliza ni kuwa unadhani nilichokuwa nakwambia nakudanganya? Akabisha basi nikamwambia mama mi sio stupid hivyo nisielewe unachomaanisha.
Basi ilo neno stupid mwanamke kang'aka akaniambia kama unaona mi nakuona wewe mjinga basi samahani naomba tuachane
Akakata simu then akazima
Toka juzi mpaka leo hapokei simu yangu wala hajibu sms zangu.
Jamani hivi hili nalo ni kosa la watu kuachana kweli?
 
Last edited by a moderator:
Kama hatingishi kibiriti, basi ana sababu nzuri tu za kukuacha na ni kwa faida yako. Mtafute kama ulivyoshauriwa na BAK, muongee. Akikataa mpe nafasi na umtafute tena. Ukiona bado anakataa usibembeleze sana wala kuwa king'ang'anizi. Utakuja kulia mbele ya safari, bora uepushe msongamano. Chura ukipigwa teke ujue unepunguziwa safari.
 
Last edited by a moderator:
NN mie kila nikiona hii video naishia kucheka kupita kiasi..Jamaa kajijengea umaarufu mkubwa sana..na hiyo gangnam style imekuwa ni gumzo la watu wengi.
 
Habari zenu wadau
Juzi tulikuwa tunazungumza na mpenzi wangu katika maongezi kuna story nikawa namsimulia then nilipomaliza akaniambia "hivi we utajisikiaje endapo mtu unaempenda anakudanganya"?nilichomuuliza ni kuwa unadhani nilichokuwa nakwambia nakudanganya? Akabisha basi nikamwambia mama mi sio stupid hivyo nisielewe unachomaanisha.
Basi ilo neno stupid mwanamke kang'aka akaniambia kama unaona mi nakuona wewe mjinga basi samahani naomba tuachane
Akakata simu then akazima
Toka juzi mpaka leo hapokei simu yangu wala hajibu sms zangu.
Jamani hivi hili nalo ni kosa la watu kuachana kweli?
Huyo anakuepusha shari huko siku za usoni, na wewe zima simu halafu uanze mbele.
 
sometimes to realize if somebody loves you, we let em go; if they come back then utajua you were ment to be together vinginevyo they were never ment to be our dearest one
 
Wakati mwingine watu wanaachana kwa mambo ya kipumbavu mno!!! Nimeshaona ndoa inavunjika kisa sufuria ya ugali. Sufuria ya ugali ikazaa ugomvi mkubwa mpaka amani kupotea ndani ya nyumba na mwisho ndoa kuvunjika. Kama unampenda kiasi hicho mfuate kwake/kwao au kazini/chuoni mkae chini ili muongee kwa kituo kama atakuwa tayari kukupa nafasi hiyo, vinginevyo kuna njemba nyingine imeshakuwekea kauzibe...WE URIE TU!

upo sahihi katika mzozo wowote ule lazima kuwe na short term causes na long term causes so ktk mazingira hayo lazima kutakuwa kuna vijisababu vingine vimejificha
 
Kama hatingishi kibiriti, basi ana sababu nzuri tu za kukuacha na ni kwa faida yako. Mtafute kama ulivyoshauriwa na BAK, muongee. Akikataa mpe nafasi na umtafute tena. Ukiona bado anakataa usibembeleze sana wala kuwa king'ang'anizi. Utakuja kulia mbele ya safari, bora uepushe msongamano. Chura ukipigwa teke ujue unepunguziwa safari.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom