Dont tell us how to dress..!

usitupotoshe. Wazungu wamewakuta Waafrika wanakula nguruwe na kupika na kunywa pombe.
mbona unaenda kanisani? nenda mapangoni kaabudu mizimu.

nyie mwisho wake mtavaa hijabu tu kama mama yake Yesu, Mariam.

au kanzu kama Yesu na Mitume wa Mungu wote. nitajie Mtume wa Mungu aliyevaa tai ama suruali.
 
Kwa hiyo unataka kusema hao ni wakristo waliofaa hivyo? Sikutaka kuipa thread hii mjadala wa dini, ila nugu NIsaha umekosea unapokuwa na stereotype za vichupi na wazungu na wakristo. Kama brothel zimejaza watu wa kila dini na wengine wapagani,kama Ohio, Kwa macheni,SInza na kwengineko wanakojiuza wadada utakuta majina ya kidini na mengine yetu ya asili. SUala si msikiti wala kanisa, sio uislam wala ukristo. Kuna masista wanadhaniwa kuzini, kuwa wafaa hijabu (maninja wanatembelea nyumba za kulala wageni)! Hayo tuyaache, but why kutembea uchi? Kwani si kila mzinzi ni mtembea uchi, but likelihood ya kuzini unapotembea uchi ni kubwa zaidi
Mi nadhani swali lilikuwa kwa nini ni wanawake wanaotembe uchi tuuuu?Mbona wanaume wasifanye hivyo? NIni kinaleta matatizo vichwani mwao?

soma qur-an utajuwa kwanini mwanamke kaambiwa avae hijabu.

Wazungu watawavalisha vichupi hadi makanisani, kwanza manafungisha ndoa za jinsia moja (nabii luti)

yaani nyie hamna akili kweli mungu kakataa nguruwe,pombe lakini nyie wazungu wamewaambia mle mnakula, mfuateni yesu wa kwenye qur-an kama waislamu wanavyomfuata.
 
Simple minded. Upeo wako ndo umeishia hapo.
 
soma qur-an utajuwa kwanini mwanamke kaambiwa avae hijabu.

Wazungu watawavalisha vichupi hadi makanisani, kwanza manafungisha ndoa za jinsia moja (nabii luti)

yaani nyie hamna akili kweli mungu kakataa nguruwe,pombe lakini nyie wazungu wamewaambia mle mnakula, mfuateni yesu wa kwenye qur-an kama waislamu wanavyomfuata.

wewe nawe,sio kila jambo lazima lipate "back up" ya dini jamani,some matters should be discussed in a purely social context with religious affiliations out of spite, yaani huyu aliyepandikiza habari ya udini katushika kweli sie wajinga( No offence)
 
Back
Top Bottom