Don't Mess with this tribe

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
144755.jpg
 
When I see these things huwa ninawachukia wadhungu kwa kutengeneza kitu hii!!!!!!!!!!!! Coz they knew the outcome of such things, and Africans end up killing each other. Kwa hili sitakaa niwapende wadhungu!
 
Mkuu BUBE nadhani ungebadilisha usemi wako na kuwachukia zaidi waafrica na waarabu ingekuwa vizuri zaidi,kwani kila sehemu niliyowahi kutembelea na kila jarida nililowahi kusoma hakuna sehemu niliyowahi kuona hawa wazungu wanatulazimisha kununua au kuyatumia haya mavitu.Ni sawa na muuza sumu hakulazimishi kwenda kwake na hata ukienda atakuuzia bila kujali unayeenda kumuwekea sumu hiyo ni panya,paka wa jirani au unataka kujiua mwenyewe.Kwa hiyo mkuu wakati mwingine tujiangalie wenyewe zaidi kwa matatizo yetu na sio kumshutumu mzungu..
 
Last edited by a moderator:
When I see these things huwa ninawachukia wadhungu kwa kutengeneza kitu hii!!!!!!!!!!!! Coz they knew the outcome of such things, and Africans end up killing each other. Kwa hili sitakaa niwapende wadhungu!

umchukie mzungu kwa ujinga wenu wenyewe.
 
BUT WHY SUCH DESTRUCTIVE MACHINES? Hebu jiulize hizi zimetengenezewa mbwa, nyani au nani kama si binadamu! Mimi nawachukia kwa kuwa hata kama hawakumlenga mwafrika/muarabu bado akili hii ilikuwa ni akili ya uharibifu! I stand to be corrected, leo hii bajeti za nchi zinazoingizwa kwenye mambo haya zingesaidia kuwafanya madaktari wasigome, umeme uwake hadi kule kwenye kitongoji changu. Zingerekebisha barabara hata fly-overs zisingekuwa tatizo. Hii akili ya wadhungu kuja na vitu hivi ndo inaendeleza UBABE na uharamia! Inawafanya wengine waonekane miungu watu maana wakitamka tuuuu wengine mnafyata mkia! Siwapendi kwa kitu hii! Inamwumiza hata asiyeshiriki kuanzisha chokochoko!
Mkuu BUBE nadhani ungebadilisha usemi wako na kuwachukia zaidi waafrica na waarabu ingekuwa vizuri zaidi,kwani kila sehemu niliyowahi kutembelea na kila jarida nililowahi kusoma hakuna sehemu niliyowahi kuona hawa wazungu wanatulazimisha kununua au kuyatumia haya mavitu.Ni sawa na muuza sumu hakulazimishi kwenda kwake na hata ukienda atakuuzia bila kujali unayeenda kumuwekea sumu hiyo ni panya,paka wa jirani au unataka kujiua mwenyewe.Kwa hiyo mkuu wakati mwingine tujiangalie wenyewe zaidi kwa matatizo yetu na sio kumshutumu mzungu..
 
When I see these things huwa ninawachukia wadhungu kwa kutengeneza kitu hii!!!!!!!!!!!! Coz they knew the outcome of such things, and Africans end up killing each other. Kwa hili sitakaa niwapende wadhungu!

AK 47.Nooma mzee
 
Mkuu bibicom! Hakuna cha ujinga wetu coz hata wao wenyewe wanauana kwa hii kitu....suala la msingi hapa ujiulize ni bajeti kiasi gani inamalizikia kwenye haya mavitu wakati vifo vya kina mama vikiwa juu? Hebu wasikie watu DRC kwa ubabe walionao kwa kuwa they got haya mavitu! Na je unajua bajeti kiasi gani za nchi zetu zinatengwa kila mwaka kununua huu upuuzi?

Back
Top Bottom