Don't Love

ki OBAMA kinanipiga chenga, acha nijibu kwa kiKIKWETE.

hata uwe na kila kitu lakini kuna kitu kimoja muhimu sana utakihitajia kutoka kwa asiekuwa wewe (kila aliezidi miaka 16 anakijua), sasa hicho kitu ndio kinacontrol hisia za mtu bana! ukweli ni kwamba wengi wetu tunapendaga wenza wetu zaidi ya sisi binafsi kwasababu ndio wanatupatia ile kitu ambayo sisi wenyewe hatuna ,NA TUNAIHITAJI SANA ili kichwa itulie ofisini heheheeh. Unaweza ukataka ujipende wewe zaidi lakini ile kitu ikikukolea unajishtukia hata jina yako umempa mume yako au gari ya babaako umeandikia mke yako(hapa naongea kidosi) heheheeh

(this post is a copy right to his majesty klorokwini, taking it to other blog will lead you to mahakama ya kisutu)
heehee makubwa basi... kwani hiyo kitu si wote tunapeana au tunafurahia... kama ndo hivyo haihitaji hata kupenda manake iyo kitu unaweza kuipata bila mapenzi...
 
ki OBAMA kinanipiga chenga, acha nijibu kwa kiKIKWETE.

hata uwe na kila kitu lakini kuna kitu kimoja muhimu sana utakihitajia kutoka kwa asiekuwa wewe (kila aliezidi miaka 16 anakijua), sasa hicho kitu ndio kinacontrol hisia za mtu bana! ukweli ni kwamba wengi wetu tunapendaga wenza wetu zaidi ya sisi binafsi kwasababu ndio wanatupatia ile kitu ambayo sisi wenyewe hatuna ,NA TUNAIHITAJI SANA ili kichwa itulie ofisini heheheeh. Unaweza ukataka ujipende wewe zaidi lakini ile kitu ikikukolea unajishtukia hata jina yako umempa mume yako au gari ya babaako umeandikia mke yako(hapa naongea kidosi) heheheeh

(this post is a copy right to his majesty klorokwini, taking it to other blog will lead you to mahakama ya kisutu)
naona hapa umetwanga ki-mkjj
 
The Following User Says Thank You to klorokwini For This Useful Post:

Geoff (Today)

heheheeh bado ya invizibo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom