Dondoo za Mapenzi

Lizzy umeweka nondo za ukweli mtupu. Unaweza kuwa psychologist mzuri sana. Haya mambo yanahitaji muongozo fulani even though si zote zinazingatiwa.
 
Lizzy umeweka nondo za ukweli mtupu. Unaweza kuwa psychologist mzuri sana. Haya mambo yanahitaji muongozo fulani even though si zote zinazingatiwa.

Asante sana kwa hapo penye red......that's exactly what i'm aiming for!!!
 
asante sana kwa tuition yako ya bureee,ntafanyia kazi haraka iwezekanavyo maana hali mbaya!
 
kwa walio ndani ni ngumu sana kutamka samahani kama mtu hanamakosa na ni rahisi sana samahani kwa mtu mwenye makosa(funika kombe mwaharamu apite)
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom