Dondoo za Mapenzi

LIzzy,
Naona nafasi ya SIR GOD umeipa umuhimu kidogo. Anyway Kinyau amekukumbusha. Nasisitiza mwenzi mwema hutoka kwa SIR GOD. Unaweza kufanya hayo yote lakini binadamu kama maji ya bahari huja na kupwa, yaani hatabiriki. God is the answer to what we're discussing. Vidondoo vyako nimevipenda.
 
LIzzy,
Naona nafasi ya SIR GOD umeipa umuhimu kidogo. Anyway Kinyau amekukumbusha. Nasisitiza mwenzi mwema hutoka kwa SIR GOD. Unaweza kufanya hayo yote lakini binadamu kama maji ya bahari huja na kupwa, yaani hatabiriki. God is te answer to what we're discussing. Vidondoo vyako nimevipenda.
Asante!God comes first ila na sisi inabidi tuchangie yale tunayoweza!Hatuwezi kutegemea yeye atufanyie kila kitu!
 
Lizzy hapo wala sina la kuongeza wala kupunguza... yaani umemaliza yote.
Hizi kweli Dondoo za Mapenzi... na watu wakizifata kutakuwa hakuna shida...
Ila binadamu tunavyopenda short cut tunaaribu wenyewe alafu tunatafuta mchawi....
 
Asante!!!!
Hapo kwenye red yani ikiwa tutajifunza kukubali makosa yetu na kuyafanyia kazi ili yasijirudie vilio vya mioyo iliyovunjika na kupotezeana muda kutapungua haswa!!!
 
Hellow lizy, hapo kwenye namba 6 kuhusu misimamo,
kwa mfano nimempenda mtu lakini kuna tabia moja anayo na hawezi kubadilika na ameshaonesha msimamo wake juu ya hilo. Unanishauri nimuache mapema au niikubali tu na kuichukulia kawaida hiyo tabia au niendelee nae huku nikimbadilisha taratibu?
 
Ingawa mimi sio Lizzy Hus mambo...?
Nadhani issue ni kwamba wewe unaweza kuvumilia hiyo tabia yake bila kuumia au yeye anaweza kubadili hiyo tabia bila kuumia sana au kubadilisha what he really is...(change his personality )

Issue ya kubadilisha watu polepole ni makosa tunayofanya wengi sababu katika kubadilishana tunasababisha arguments ambazo ndio zinakuwa ufa kwenye mahusiano yetu... kwahiyo jiulize

Unaweza kuvumilia Msimamo wake?
Je anaweza akabadilisha misimamo yake?
Je nyote mnaweza mkaishi kwa raha na kukubali tofauti zenu katika misimamo na kuheshimu maamuzi ya kila mmoja?
Je ni kweli unaweza ukambadilisha ? (Though I doubt you can really change someone its easy for you to change kuendana na yeye)

I thinks thats it... Usisahau kunitumia kadi ya harusi.....
 
Sijui nilikuwa wapi sikukupa thanks yako siku hii uliyotuma hii article,Big Up Lizzy,we ndo mwalimu wangu mzuri......l.o.l
 
Ingawa mimi sio Lizzy Hus mambo...?
Nadhani issue ni kwamba wewe unaweza kuvumilia hiyo tabia yake bila kuumia au yeye anaweza kubadili hiyo tabia bila kuumia sana au kubadilisha what he really is...(change his personality )

Issue ya kubadilisha watu polepole ni makosa tunayofanya wengi sababu katika kubadilishana tunasababisha arguments ambazo ndio zinakuwa ufa kwenye mahusiano yetu... kwahiyo jiulize

Unaweza kuvumilia Msimamo wake?
Je anaweza akabadilisha misimamo yake?
Je nyote mnaweza mkaishi kwa raha na kukubali tofauti zenu katika misimamo na kuheshimu maamuzi ya kila mmoja?
Je ni kweli unaweza ukambadilisha ? (Though I doubt you can really change someone its easy for you to change kuendana na yeye)

I thinks thats it... Usisahau kunitumia kadi ya harusi.....

poa VOR. Bado hujanijibu mpendwa, tuseme kwamba tangu mwanzo huo msimamo unaniumiza na nimeshaona unaninyima raha na sioni dalili za yeye kubadilika. Kama ambavyo mimi nimeonesha msimamo wa jambo fulani ina maana siwezi kumlazimisha na huyo mtu abadili msimamo wake.
Vingine tuseme vipo sawa kasoro hilo moja ambalo linaonekana ni zito.
Kwa situation kama hiyo nafanyaje? Yaani katika situation ambayo unakuwa na huzuni na furaha at the same time.
Kuhusu kadi ya harusi................... Usijali maana wewe wangu utaingia bila kadi.
 
4.Penda kujua malengo yake ya baadae.
Hii itakuwezesha kugundua ni mtu wa aina gani...kama ni mpenda maendeleo,mtu wa starehe tu n.k.

Wanajua kuigiza utadhani kweli!
 
Hus.. Mimi huwa kujiprotect na ku-avoid disappointments huwa am prepared for the worse(yaani mambo yasipoenda as planned)..

Kwa vile umeshajitahidi kumbadilisha na hataki kubadilika kwenye hii honeymoon period unadhani ni nini kitamfanya abadilike baadae ?, Na pili kubadilika kwake je kutakuwa sacrifice kubwa ambayo itamfanya yeye akose raha? Kwahiyo cha kufanya ni kumwabia wazi kwamba anachofanya kinakunyima raha na ungependa abadilike.. lakini kumbuka kumforce kwako yeye kubadilika kusiwe mzigo kwake ambao utamfanya akuchukie...(au kuishi na wewe bila furaha)

Lakini jibu zuri ni kwamba je penzi lako kwako ni kubwa kuliko hayo maudhi.., na kama ndio basi endelea nae na hope for the best kwamba atabadilika (although its very rare)

Nadhani ni rahisi kujibadilisha sisi wenyewe binafsi kuliko kutegemea mwenza wetu abadilike..
 
nimekuelewa mkuu.
 
Nafikiri ukimenda mtu kwa dhati hakuna utakachoshindwa, utakuwa radhi kuvumilia kitu hata kimoja ili uwe nae. Thanx lizz nimependa sana hii thread
 
Hellow lizy, hapo kwenye namba 6 kuhusu misimamo,
kwa mfano nimempenda mtu lakini kuna tabia moja anayo na hawezi kubadilika na ameshaonesha msimamo wake juu ya hilo. Unanishauri nimuache mapema au niikubali tu na kuichukulia kawaida hiyo tabia au niendelee nae huku nikimbadilisha taratibu?
Unaangalia uzito wa huo msimamo mami!Kama ni kitu unachoweza kuvumilia mnaendelea ila kama unaona ni TOO MUCH kwako ni bora kuondoka mapema kabla penzi halijakolea!
 
4.Penda kujua malengo yake ya baadae.
Hii itakuwezesha kugundua ni mtu wa aina gani...kama ni mpenda maendeleo,mtu wa starehe tu n.k.

Wanajua kuigiza utadhani kweli!
Hapo unatakiwa uwe mjanja...mfanye mtu ajisikie kwamba hata kama hana malengo sio mbaya..muda wa kuyafikiria bado upo!Mueke kwenye mazingira ya kua mkweli kwako kwa kutokuonyesha kwamba unategemea mambo makubwa sana kutoka kwake!
 
Back
Top Bottom