Donald Trump to cancel Air Force One order from Boeing

RUCCI

JF-Expert Member
Oct 6, 2011
1,701
1,714
1642084_1280x720.jpg

Rais Mteule wa Marekani, Donald Trump ametangaza nia ya kusitisha ununuaji wa ndege mbili za kisasa za Rais wa Marekani(Air Force One).

Ndege hizo ambazo zitagharimu takribani dola za Marekani bilioni 4, Trump amesema kuwa bei ya matengenezo iko juu na huenda shirika lililoshinda tenda kwa ajili ya matengenezo ya ndege hizo la Boieng limezidisha bei.

====================

Donald Trump wants to cancel government plans to build two new Air Force One jets.

The president-elect said in a tweet Tuesday that the new Boeing (BA) 747 jet that's being built to carry "future presidents" already costs more than $4 billion, and that he wants to cancel the order.

"Boeing is building a brand new 747 Air Force One for future presidents, but costs are out of control, more than $4 billion. Cancel order!"

Asked by reporters Tuesday morning about the tweet, Trump responded, "Well the plane is totally out of control. It's going to be over $4 billion for [the] Air Force One program," he said. "And I think it's ridiculous. I think Boeing is doing a little bit of a number. We want Boeing to make a lot of money, but not that much money."

Trump did not say why he believes the planes will cost "more than $4 billion." Boeing says it currently has an Air Force One contract worth $170 million.

A Boeing source familiar with the program told CNN that not even the company can estimate the cost of the program at this time, since "the Pentagon has not even decided all the bells and whistles it wants on the new Air Force One."
Without knowing all the security features it is hard to estimate the cost, the source added, and the Air Force isn't even sure whether it wants two or three of the planes.
"We are not sure where he is getting that number from," said the Boeing official.

"The statistics that have been cited [by Trump], shall we say, don't appear to reflect the nature of the financial arrangement between Boeing and the Department of Defense," said Obama White House spokesman Josh Earnest.

In an official statement, Boeing said that its current contract allows it "to help determine the capabilities of these complex military aircraft that serve the unique requirements of the President of the United States."

The company was caught completely off guard by Trump's comments and contacted the president-elect's team soon after his tweet, a Boeing official told CNN.

Source: CNN
 
Yule bibi keshasahaulika tayari.
Time is a good healer and a good speaker. Tayari watu wameshaanza kuchambua wateule wake, mikakati yake ya kiutawala, Soyinka ameshajitoa kwenye maanadamano na kuamua kuhamia Canada, bado hataki kurudi kwao kwenda kupigania anachokiamini.
Tayari watu wanaingia kwenye tweets zake na kuanza kushauri the better way for making America Great again. Kwa kifupi wameshamkubali, maana hata CNN hai report tena yale maanadamano bali wanaanza kuelekea kwenye issues.
 
Safii sanaa,washafyataaa
 
Maisha hayana ut'abir
,Si ajabu huyu akaja kuwa kati ya ma Rais bora wa Marekani.
 
Time is a good healer and a good speaker. Tayari watu wameshaanza kuchambua wateule wake, mikakati yake ya kiutawala, Soyinka ameshajitoa kwenye maanadamano na kuamua kuhamia Canada, bado hataki kurudi kwao kwenda kupigania anachokiamini.
Tayari watu wanaingia kwenye tweets zake na kuanza kushauri the better way for making America Great again. Kwa kifupi wameshamkubali, maana hata CNN hai report tena yale maanadamano bali wanaanza kuelekea kwenye issues.
Kiukweli mkuu hawa CNN walinikera sana,Huwa nakuwa na utaratibu wa kuwasha TV asubuhi saa 11 wakati najianda kwenda mishemishe,Mara nyingi huwa naweka CNN.Unakuta jamaa kila siku ni mijadala inayozungumzia mapungufu ya Trump,yaani wajamaa wako very negative kwa Trump.Sasa ivi naona wamepunguza kidogo.Kama ulivyosema wanaanza ku discuss issues.
 
Kwahiyo wewe unaziamini media

Media ziamini kwa 20% tu

Media zinaendeshwa na wakubwa.

CIA wanambinu ya kuzitumia media kufanya propaganda,tycoons nk

CNN ilikuwa inamfanyia kampeni Hillary kama ilivyokuwa kwa fox news ilivyokuwa inamfanyia kampeni Trump..CNN =Democratic s

Media zote duniani siyo wa kuwaamini 100% ,
 
Kiukweli mkuu hawa CNN walinikera sana,Huwa nakuwa na utaratibu wa kuwasha TV asubuhi saa 11 wakati najianda kwenda mishemishe,Mara nyingi huwa naweka CNN.Unakuta jamaa kila siku ni mijadala inayozungumzia mapungufu ya Trump,yaani wajamaa wako very negative kwa Trump.Sasa ivi naona wamepunguza kidogo.Kama ulivyosema wanaanza ku discuss issues.

Leo nimepata majibu ya kwanini una matatizo ya kisaikolojia.
:D:D:D:D:D:D:D:D:D
 
Time is a good healer and a good speaker. Tayari watu wameshaanza kuchambua wateule wake, mikakati yake ya kiutawala, Soyinka ameshajitoa kwenye maanadamano na kuamua kuhamia Canada, bado hataki kurudi kwao kwenda kupigania anachokiamini.
Tayari watu wanaingia kwenye tweets zake na kuanza kushauri the better way for making America Great again. Kwa kifupi wameshamkubali, maana hata CNN hai report tena yale maanadamano bali wanaanza kuelekea kwenye issues.

Kaka nakumbuka tuliongea sana hapa,
Tukatukanwa kweli kwamba sisi tumelishwa propaganda za Kirusi.
Lakini ukweli ni kwamba hadi Trump mwenyewe amekubali kwamba kuna matatizo makubwa sana Marekani.
 
Hapa ndiyo unapoona tofauti kati ya Rais mwanasiasa na Rais mfanyabiashara mwenye mafanikio makubwa.
 
trump acancel hio order akiwa kama nan? kwasasa aneweza kufanya hvyo ni obama tu yeye mpk january 20
 
Kaka nakumbuka tuliongea sana hapa,
Tukatukanwa kweli kwamba sisi tumelishwa propaganda za Kirusi.
Lakini ukweli ni kwamba hadi Trump mwenyewe amekubali kwamba kuna matatizo makubwa sana Marekani.
Hatukueleweka, na sidhani kama kama tumeeleweka au tutakuja kueleweka. Wengi wanadhani maoni yetu yalishinda, kumbe sisi hatujashinda wala hatukua na maoni bali tulisimamama kwenye uhalisia, uhalisia tulioupata baada ya kuchimba sana na kuhangaisha sana vichwa. Watu wanatabia ya kuongea wayapendayo, yanayoburudisha mioyo yao, hawa ni wale wenye hulka za kishabiki si wadadisi. Shida huanzia hapo. Hawapendi kuongea wala kusikia kutoka kwenye yale yaumizayo mioyo yao.
 
Ndio raha ya kuwa na rais mfanyabiashara kila Kitu anakichambua katika faida na hasara.
 
Hatukueleweka, na sidhani kama kama tumeeleweka au tutakuja kueleweka. Wengi wanadhani maoni yetu yalishinda, kumbe sisi hatujashinda wala hatukua na maoni bali tulisimamama kwenye uhalisia, uhalisia tulioupata baada ya kuchimba sana na kuhangaisha sana vichwa. Watu wanatabia ya kuongea wayapendayo, yanayoburudisha mioyo yao, hawa ni wale wenye hulka za kishabiki si wadadisi. Shida huanzia hapo. Hawapendi kuongea wala kusikia kutoka kwenye yale yaumizayo mioyo yao.

Binafsi napata maswali mengi sana juu ya Donald Trump,
Mfanya biashara wa kawaida pamoja na hela zako nyingi hapa duniani,
Huwezi kushinda na watu kama wakina George Soros, Clinton, Obama, Bush na wale Wayahudi wa Goldman Sachs halafu ukatoka salama. Kinachonishangaza zaidi ni jinsi ambavyo alivishinda vyombo vya habari, yule jamaa sijui ana nini.
 
Hili nitalitafutia muda ili nilifanyie kazi. Maana mpaka sasa hakuna ajuaye in details kilichotokea. Ulimwengu wa wadadisi mpaka sasa upo puzzled.
 
Aisee wafuatiriaji wa mambo nisaidieni.
*Nikweri Trump atafuta mikataba ya marekani na washirika wake ulaya ya kibiashara?
*Ataacha kuilinda ulaya (NATO)?
*Nikweri atajenga ukuta kati ya marekani na Mexico?
*Nikweri ataacha kuwasaport vibalaka wa marekani kule uarubuni (saudia, Qatar,nk).
*Nikweri ataiondolea ulinzi Israel inayotamaniwa na maadui zake itoweke katika uso wa ulimwengu huu?
Au tuseme ni vile alijua wamarekani wanataka nini na yeye akaviadress akashinda ila kuvitimiza hapo ndo napata kizungumukuti...
Any way mimi ngoja nimpe mda kama wa miaka miwili tu akitimiza moja kati ya hivyo......
 
Back
Top Bottom