Ntalipia. . .but helkopta yenyewe sijaiona bado. . .nina hela nyie mpaka ninaumwa. . .
Jamani hamfiki tu! Nimechoma mahindi hapa. . .
Na kuungua yalishaungua siku nyingi,leo day 2 ntakua maeneo ya kwa kipanga nachoma mguu wa mbuzi,
Chezea mimi? Kwa hasiranlionayo nimeamua kuchoma mbuzi mzima. . .
Hahahahaha. . .baada ya kukurushia dongo ndio umekung'uta mifuko yote? Angalia usije ukakosa nauli ya kurudi mjini aisee.