Don Mangi is travelling to Moshi.

Don Mangi

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,198
852
Don Mangi ndo huyo keshakata tiketi ya dar xpress ya saa moja, nitakuwepo mjini moshi vi siku viwili vitatu. . .wana jf wa moshi tuwasiliane. . .nina hela za kutumbua. . Good times!
 
ukizitumbua,usitumbulie bar....wachaga noumaa,utamaliza hela watu bado wana kiu...
 
Arushaone wengine hatupendagi msongamano,
na mimi muda wowote nakuja huko anza kuweka hela za matumizi,
Katavi tumeshakosana kisa ni kutofautiana kwenye itikadi.

Mbona mapema sana? Me najua chrismass, mwaka mya na pasaka ndio huwa mwaendaga kuhesabiwa, imekaaje hii? Ama kuna nini don mangi?
 
Ukifika nistue nije nikusaidie matumizi. Tunaanza na shopping kwa muongozo wa sweetlady
 
Last edited by a moderator:
Andaa itinerary ya mgeni kabisaa! Tukimaliza shopping ni kula na kunywa kama hakuna kiama! Muambie shem Fang akuachie helicopter leo ili tusisumbuliwe na vi-hiace tafadhali.
Yap yap mke mwenza......mimi penda wewe vile unaakili ya kuzaliwa!

Mtanikuta madukani nawasubiri!
 
Andaa itinerary ya mgeni kabisaa! Tukimaliza shopping ni kula na kunywa kama hakuna kiama! Muambie shem Fang akuachie helicopter leo ili tusisumbuliwe na vi-hiace tafadhali.

Hahahahaha hivi mgeni anakuja na mahela eeh?
Fang amesema helicopter ataacha ila mgeni atalipia per mzunguko!
 
Last edited by a moderator:
ahaa pale karibu na tanesco? Napitaga sana hapo ila napenda zaidi la liga.

Hapo hapo. . .ndo niko hapa sa hv nangojea wadau wa jf niwape ofa. . .ukija tu unatakiwa unipe headline ya post ndo kiingilio.
 
Back
Top Bottom