Domain name hii ya nani?

Sasa mkuu umeshamuita lijimtu, unategemea atakupa au kama alipanga kuuza kwa bei poa si ataongeza bei ili akukomoe...?Busara ni muhimu hususan kwenye bargaining ukizingatia kama ni panga wewe umeshika kwenye makali lijimtu limeshika kwenye mpini
 
atapatikana tuu nakumbuka kuna teknik fulani unafanya kwa CMD then utajua Domain hiyo ime hostiwa wapi...ukishapata tu unavamia kama torabola na kuchomoa Cpanel yote....
 
atapatikana tuu nakumbuka kuna teknik fulani unafanya kwa CMD then utajua Domain hiyo ime hostiwa wapi...ukishapata tu unavamia kama torabola na kuchomoa Cpanel yote....

wala huitaji kufanya kwa CMD unatumia Whois tu utaanza kupata taarifa za muhusika


domain: shopping.co.tz
registrant: OG1-TZNIC
admin-c: OG1-TZNIC
nsset: NS-SHOPPING
registrar: REG-TZNIC
status: paid and in zone
registered: 23.03.2012 17:47:31
expire: 23.03.2013

contact: OG1-TZNIC
org: Web Technologies (T) Ltd
name: Octavian Godfrey
address: Kisutu Street
address: Upanga
address: Dar es Salaam
address: P.O.Box
address: TZ
phone: +255.714817081
fax-no: +255.222134526
e-mail:
registrar: REG-TZNIC
created: 31.08.2009 06:26:18

nsset: NS-SHOPPING
nserver: dns1.webtechtz.net
nserver: dns2.webtechtz.net
tech-c: OG1-TZNIC
registrar: REG-TZNIC
created: 23.03.2012 17:46:57
 
Watu nourmaaaa



wala huitaji kufanya kwa CMD unatumia Whois tu utaanza kupata taarifa za muhusika


domain: shopping.co.tz
registrant: OG1-TZNIC
admin-c: OG1-TZNIC
nsset: NS-SHOPPING
registrar: REG-TZNIC
status: paid and in zone
registered: 23.03.2012 17:47:31
expire: 23.03.2013

contact: OG1-TZNIC
org: Web Technologies (T) Ltd
name: Octavian Godfrey
address: Kisutu Street
address: Upanga
address: Dar es Salaam
address: P.O.Box
address: TZ
phone: +255.714817081
fax-no: +255.222134526
e-mail:
registrar: REG-TZNIC
created: 31.08.2009 06:26:18

nsset: NS-SHOPPING
nserver: dns1.webtechtz.net
nserver: dns2.webtechtz.net
tech-c: OG1-TZNIC
registrar: REG-TZNIC
created: 23.03.2012 17:46:57
 
jamani yanini yote hayo? fanya tu shopping2012.co.tz tofauti na hapo ni ubabe, hii ni biashara we wahi kufika sokoni.
 
wala huitaji kufanya kwa CMD unatumia Whois tu utaanza kupata taarifa za muhusika


domain: shopping.co.tz
registrant: OG1-TZNIC
admin-c: OG1-TZNIC
nsset: NS-SHOPPING
registrar: REG-TZNIC
status: paid and in zone
registered: 23.03.2012 17:47:31
expire: 23.03.2013

contact: OG1-TZNIC
org: Web Technologies (T) Ltd
name: Octavian Godfrey
address: Kisutu Street
address: Upanga
address: Dar es Salaam
address: P.O.Box
address: TZ
phone: +255.714817081
fax-no: +255.222134526
e-mail:
registrar: REG-TZNIC
created: 31.08.2009 06:26:18

nsset: NS-SHOPPING
nserver: dns1.webtechtz.net
nserver: dns2.webtechtz.net
tech-c: OG1-TZNIC
registrar: REG-TZNIC
created: 23.03.2012 17:46:57

mkuu naomba msaada wa jinsi ya kutambua kama ww hii ktu maana inanisumbua kweli, jinsi ya kutumia hii WHOis
 
jaman naomba niwe tofauti na wengi kidogo.
domain name investment ni kama investment nyingine yoyote, mtu anairegister na kuicha ipate wateja,kwa mfano ukiregister na godaddy.com au yahoo small business wanatoa hyo option ya kuweka na contact zako kama unaiuza, xo mi nadhan kwa kuwa umemjua ni nan (hongera fahari, nakuheshimu sana kwa hili) jaribu kucontact nae muongee business, au register nyingine kama unaweza
 
by the way imekuwa registered only mwezi mmoja uliopita,kama ni serious website inaweza kuwa kwenye matengenezo
 
Very Unprofessional! BTW, vipi mkuu Benzoic, vipi ulifanikisha kuwasiliana na mwenye nayo mkamalizana au uliamua kubuni nyingine?

Hiyo ni moja ya solution. Kama hutaki hivyo basi badili extension .net .com .custom extension
 
Last edited by a moderator:
Very Unprofessional! BTW, vipi mkuu Benzoic, vipi ulifanikisha kuwasiliana na mwenye nayo mkamalizana au uliamua kubuni nyingine?

Niliwasiliana na Tznic wakasema domain iko active lakini mmiliki anatumia for mail purpose tu na sio website.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom