Doli Doli Nimenunuliwa Nguo Ya Sikukuu Na Viatu

Hizi nguo wavaaji wake ni Masharobaro aka Brother Men

Halafu huyu aliyekununulia hakujui vizuri naona sijawahi kukuona umezivaa kama hizi
 
Black%2Bcashmere%2Bscarf%2Bfrom%2BDsquared2%2Bwith%2Btasselled%2Bedging..jpg




Alexander%2BMcQueen%2BDeconstructed%2BSport%2BJacket.jpg


Hugo%2BBoss%2BPhillo%2BSlim%2BFit%2BFormal%2BShirt1.jpg

Cotton%2Bregular%2Bfit%2Btrouser%2Bwith%2Bfront%2Bslash%2Bpockets%2Band%2Brear%2Bbutton%2Bwelt%2Bpockets..jpg


Lace%2BUp%2BLeather%2BShoes%2BBy%2BMario%2BFagni..jpg


Kamanda TF, pamoja sana kwenye viatu.

Scarf na Jacket Mmmh, japo fashionable, iko offline kidogo lol
 
Koti mbona kama la Mapadri?



Duduwasha hilo koti lina wavaaji wake Mkuu....
Huyu Jamaa mwenyewe kapost mmoja wao.

Ili uelewee ngoja atoke kwenye maombi aje hapa
atupe sampuli ya mtu ambae kavaa ili uone...
 
Duduwasha hilo koti lina wavaaji wake Mkuu....
Huyu Jamaa mwenyewe kapost mmoja wao.

Ili uelewee ngoja atoke kwenye maombi aje hapa
atupe sampuli ya mtu ambae kavaa ili uone...
Hizi sio sampuli zake huyu..
 
Safi sana hiyo combination,katika watu ambao ni washamba wa nguo za kiume mi mmoja wapo kwa kweli.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom