Doli Doli Nimenunuliwa Nguo Ya Sikukuu Na Viatu

Mi sijawa wa 30, nimekuwa wa pili. Ndio unashangaa nini? Nimekuwa wa pili kutoka mwisho
hii inanikumbusha mtt wa jamaa yangu mmoja, alikuwa wa 100 darasani wacha afurahi, eti 100 ni kubwa inanununua pipi akawa anamshangaa alieshika nafasi ya kwanza halafu anafurahi wkt ni ndogo hainunui kitu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom