Dola elfu thelasini na tisa na laki tano_ Aden Rage

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,455
154,320
Hiyo figure ameitamka mwenyekiti wa Simba Alhaj Ismail Aden Rage akiongea na waandishi wa habari akimtaka mchezaji wa Rwanda aliyesajiliwa na Simba azirudishe, zikiwa ni gharama za mawakili, gharama za usafiri na hela aliyopewa mchezaji huyo
 
Hahaaaa nimecheka hata mimi..mweeee mwenyekiti wangu kapagawa na mbuyi twite
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha

Yallah Mbavu zangu......
 
Hiyo figure ameitamka mwenyekiti wa Simba Alhaj Ismail Aden Rage akiongea na waandishi wa habari akimtaka mchezaji wa Rwanda aliyesajiliwa na Simba azirudishe, zikiwa ni gharama za mawakili, gharama za usafiri na hela aliyopewa mchezaji huyo

Ni $ 39,000 na Tsh 500,000 kwa tuliosikiliza habari hii kwa makini hilo ndio alilomaanisha. Hzo Tsh gharama za wakili.
 
$39,000 + Tshs 500,000 + Tshs 60,000,000(Fedha wanazotakiwa kulipa Yanga ili wamtumie Yondani), jumla ya fedha Simba itakazovuna kabla hata ya msimu mpya wa Ligi kuu kuanza ni about Million 123 fedha za kitanzania.
Kazi nzuri ya MahaRage hiyo,zidumu fikra za Mwenyekiti wa Mnyama "Mh Ismail Madeni ya MahaRage" na Wadumu na Wanachama wa team hii.
 
mkuki kwa nguruwe,je mnakumbuka yale ya Juma Kapuya kumuidhinisha V.Costa kucheza simba wakati kala pesa ya Yanga?na pia kupitisha majina ya wachezaji wa simba eti ndio timu ya taifa?Rage akae kimya!
 
mods tunaomba vitufe vya thumbs up na thumbs down maana huku kuna pumba nyingi zinapostiwa twashindwa kuzipuuza
 
Hiyo figure ameitamka mwenyekiti wa Simba Alhaj Ismail Aden Rage akiongea na waandishi wa habari akimtaka mchezaji wa Rwanda aliyesajiliwa na Simba azirudishe, zikiwa ni gharama za mawakili, gharama za usafiri na hela aliyopewa mchezaji huyo

Angetamka na Euro 500 ungemuelewa? Mtandao bwana. Tafakari halafu kurupuka vifijo na makofi saana tu.
 
inakuaje asaini mkataba halaf arudishe fedha? kunan hapa?

Ndugu yangu kutokana na maelezo ya Rage, kuna mtoto wa kigogo mmoja (TZ one) nchini ameamua kuvuruga amani na furaha ya wastaarabu. Mimi naogopa kusema sana Bwana Mwalu, tukumbushane hili Desemba, 2015. Hapo nitatoa kauli bila woga. Acha tu niumie roho kwa kipindi cha miaka hii iliyobaki sawa na namba ya beki Amir Maftaha.
 
Fisadi anapoongoza club. unategemea nini, Hapo mpira hakuna ni hujuma kwa kwenda mbele, watu tukiawambia yanga ndo ccm wanabisha
 
rage ni criminal... alishawahi kufungwa, ni hooligan, ni kraap bungeni. lakini kwa neema ya bwana bado ana mamlaka kibao
 
Kama upuuzi wa manna hii unafanywa at this stage vipi itakuwa wakati wa ligi yenyewe marefa Tena wenye njaa wataponaje, hamna mpira hapo.
 
Ndugu yangu kutokana na maelezo ya Rage, kuna mtoto wa kigogo mmoja (TZ one) nchini ameamua kuvuruga amani na furaha ya wastaarabu. Mimi naogopa kusema sana Bwana Mwalu, tukumbushane hili Desemba, 2015. Hapo nitatoa kauli bila woga. Acha tu niumie roho kwa kipindi cha miaka hii iliyobaki sawa na namba ya beki Amir Maftaha.

Hata kumtaja Ridhiwani nayo unasubiri 2015?
we mbona Kunguru hivyo?
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom