Dola 1 ya kimarekani ni sh 1630, je hii ni kweli?

yutong

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
1,601
338
Jamani hebu mnijuze nimesikia leo kuwa sasa dola moja ya kimarekani ni sawa na sh 1630 ya kitanzania, je hii ni kweli? kama ni kweli basi watanzania tutajuta na CCM hii. Nadhani ni bora sasa wapumzike maana hata sasa wanachokifanya mimi sikielewi. Hebu niambieni hawa watu wanania njema kwa watz? Nazidi kuomba Mungu chama hiki kifilie mbaya maana kinazidi kuongeza mateso. They must follow ZANU ana KANU, with CCM nothing is possible.
 
the guy anasafiri kila siku kwenda kuhudhuria hata mikutano isiyomhusu badala ya kusimamia uchumi
 
Back
Top Bottom