Dola: 1 = 1,750 TZS, Wizara ya Fedha mtutasaidiaje?

mkuu hayo madini tunayoexport tunatumia njia za panya kaka,

Mnaonaje wana jf tukawa na soko la kimataifa la madini yetu pale mlimani city?mombasa kuna soko la kimataiza la chai.wanunuzi wote waje wanunue hapa hapa kwetu sii kuruhusu wachimbaji kupeleka njee!nakumbuka augustine mrema aliamuru bot inunue dhahabu dola ilishuka mpaka sh 400
 
Forex_Trading_Weekly_Forecast_-_09.26.2011_body_Chart_2.png












Copyright © 2011 Forex Capital Markets. All rights reserved.
Forex Capital Markets, Financial Square 32 Old Slip, 10th Floor, New York, NY 10005 USA.

Just look at US$ has been kicking other currencis' ass, especially gold....
So expect the Shilling to fall unless something is done. We are a nation of buyers, so complaining won't do us any good, we need to start selling i.e me and you.
 
Baba Riz aka Mzee wa suti aka Pendapenda alisema ataleta uchumi unaopaa si unaona mwenyewe dola inavyopaa ka Jet
 
Ila mozambigue uchumi wake uko vizuri sana me nimekaa huku toka mwezi wa kwanza dollar tulikuwa tunanunua 38mt kwa dollar moja saiz tunanunua 30 na inazidi kushuka
 
Hadi Jinga Kubwa (JK) anatoka madarakani 2015 rate inaweza kufika hata 10,000. Wenyewe wala hawashtuki wako busy kule igunga na kuweka sawa suala la uraia wa nchi mbili
 
i wonder why mr.finance minister hakuliongelea hili suala wakati anahojiwa pale IMF..
 
Halafu utakuta wapuuzi fulani wanasema ' Miaka 50 ya uhuru wetu tumethubutu tumeweza' uchumi wetu umekua kwa asilimia x!'
 
Back
Top Bottom