Dokta Kitila Mkumbo usikimbie hoja mzee wangu

Hayakuhusu nenda kaoge wewe, Pilipili ya shamba yakuwashia nini?
Well kuhusu CCM juu ya mambo yao ya ufisadi wanao mfumo wa kidemokrasia wa kuchagua wanawake wa kuwawakilisha wanawake wenzao bungeni juu ya mambo yao ya ufisadi hutasikia ameteuliwa John wala Edward kuwachagua wanawake watakao wawakilisha wanawake kwenye viti maalum bungeni.
 
Gaijin,

..kwa mtizamo wangu model ina vigezo ambavyo viko fairly diverse.

..i am not saying kwamba it is a perfect model lakini nadhani it is something that Chadema could start with.

..huko mbeleni wanaweza kuiboresha ili ku-deal na mapungufu ambayo umeyabainisha.

..kwa upande mwingine, you seem to have ideas in mind but are reluctant to share with us.

NB:

..nadhani model kama hii inawafaa CDM ukizingatia kwamba hawana mtandao mkubwa wa wanachama pamoja na matawi.

Unajua model kama hii isiyo na misingi ya kisayansi ni rahisi sana kui-manipulate ili iwa-favor unaowataka. Ni just kuangalia watu wako wanavigezo gani kwanza kisha ndo unabuni model yako (sisemi kuwa ndo kilichofanyika)

Kwa mfano mchango wa hali na Mali unapimwaje?
Anaetoa elfu tano kila mwezi kwa chama ambae ana pato la laki mbili na anaetoa laki moja kutoka pato la milioni kumi nani ana points nyingi?

Kisanyi amewezaje ku-prove kuwa kila elimu ikiongezeka ndipo uwezo wa kuwa kiongozi bora unaongezeka bungeni?

Amewezaje ku-prove kuwa thamani ya muda katika chama ni nusu ya thamani ya elimu ya mgombea?

Mbunge wa viti maalum wa sasa hata kama hatakuwa na mchango wowote bungeni tayari ataingia kwenye ushindani wa kugombea nafasi akiwa na point kumi ambazo ni 20% advantage kulinganisha na mtu asiyembunge sasa! 20% just kwa kuwa alihudhuria tu bunge!

Atakapokuja kuiboresha ili kuondoa mapungufu kwenye uchaguzi mwengine, atayafanya tena kwa kutumia hisia tu na itatoa fursa kwa watu kusema model ilibadilishwa ili kumpitisha fulani na fulani. You can't win with an instinctive model like this.

Msimamo wangu kwa viti maalum ni wazi, havifai kuwepo ni ubadhirifu wa fedha za umma tu. Lakini hili haliwezi kupingwa na chama chochote cha kisiasa nchini.
 
Kwani hao kina Kamata wamechaguliwa kwa vigezo gani kama sio kwa nyimbo za kusifia watu fulani. Swala la mtu kaingia lini kwenye chama sio kigezo kuwa mtu huyo ana uwezo.
Sio nyimbo tu, kuna ''mengine'' pia
 
Unajua model kama hii isiyo na misingi ya kisayansi ni rahisi sana kui-manipulate ili iwa-favor unaowataka. Ni just kuangalia watu wako wanavigezo gani kwanza kisha ndo unabuni model yako (sisemi kuwa ndo kilichofanyika)

Kwa mfano mchango wa hali na Mali unapimwaje?
Anaetoa elfu tano kila mwezi kwa chama ambae ana pato la laki mbili na anaetoa laki moja kutoka pato la milioni kumi nani ana points nyingi?

Kisanyi amewezaje ku-prove kuwa kila elimu ikiongezeka ndipo uwezo wa kuwa kiongozi bora unaongezeka bungeni?

Amewezaje ku-prove kuwa thamani ya muda katika chama ni nusu ya thamani ya elimu ya mgombea?

Mbunge wa viti maalum wa sasa hata kama hatakuwa na mchango wowote bungeni tayari ataingia kwenye ushindani wa kugombea nafasi akiwa na point kumi ambazo ni 20% advantage kulinganisha na mtu asiyembunge sasa! 20% just kwa kuwa alihudhuria tu bunge!

Atakapokuja kuiboresha ili kuondoa mapungufu kwenye uchaguzi mwengine, atayafanya tena kwa kutumia hisia tu na itatoa fursa kwa watu kusema model ilibadilishwa ili kumpitisha fulani na fulani. You can't win with an instinctive model like this.

Msimamo wangu kwa viti maalum ni wazi, havifai kuwepo ni ubadhirifu wa fedha za umma tu. Lakini hili haliwezi kupingwa na chama chochote cha kisiasa nchini.

Mwalim,

Nahisi utakuwa umesoma fikra zangu maana ulivyoandika ndio ninavyoviamini, ni kweli kabisa tutapiga kelel kuhusu posho ziondolewe ni kweli zinatakiwa ziondolewe lakini hawa viti "vya upendeleo" wakiondolewa ni moja ya njia ya kufanya savings kwenye matumizi ya Serikali. Mishahara yao na viinua mgongo vita stop na kuwa injected kwenye mambo mengine. Ni kweli kabisa hakuna chama chochote cha siasa kinachoweza kusema kuwa viti maalum ni mzigo!
 
Back
Top Bottom