Elections 2010 Dokta Kikwete kukaa kimya tuhuma ya EPA maana yake ni mhusika mkuu?

Ntemi Kazwile

JF-Expert Member
May 14, 2010
2,182
307
Marando amemtuhumu Kikwete akishirikiana na Rostam Aziz na Edward Lowassa ndio waliokwenda kwa Mkapa kuomba ile pesa ya EPA.
Si Kikwete, wala marafiki zake RA na EL waliojitokeza kukanusha tuhuma hizo na kumchukulia hatua za kisheria mhusika anayewachafua majina. Badala yake Makamba na Kinana ndio wanaosikika wakimtetea bosi wao na kwa bahati mbaya kabisa hawajibu tuhuma bali wanalalamika kuwa Chadema wamekiuka kanuni na wanatoa matusi. Kwani kumuita mtu mwizi kama kweli huyo mtu ni mwizi ni matusi??
Kikwete ndiye adui yetu namba wani na Watanzania wote wanaomshabikia ni majuha! Huwezi kutapeliwa na mtu halafu ukaanza kumsifia mtu huyo kama wewe siyo juha / mwehu
 
Back
Top Bottom