Dokta azidiwa

BIN BOR

JF-Expert Member
Nov 23, 2010
1,013
407
Edson kaenda kwa daktari, lakini kabla ya kutibiwa akamwambia dokta.
"Nina tatizo, lakini naomba kabla hujanitibu uniahidi kitu kimoja"
"Kitu gani Edson?"
"Kwamba hautanicheka."
"Kwa maadili ya kazi yangu kama daktari siwezi kukucheka ukinieleza ugonjwa wako."
"Sawa dokta"

Basi edson akafungua zipu ya suruali yake ili amwoneshe dokta ugonja wake. "Tatizo liko hapa dokta!"

Dokta kutazama, akawa hana mbavu maana kibolo cha Edson kilikuwa kidogo sawa na korosho. Yaani dokta akacheka hadi akagaragara chini, hakuwahi kuona kibolo kidogo namna ile. Baada kama ya dakika kumi akaweza kujizuia na kicheko, akamwambia Edson.

"Nisamehe Edson, unajua mimi ni binadamu kama wewe ndio maana nimeshindwa kuvumilia kicheko. Sasa kina tatizo gani?"

"kimevimba!"
 
Back
Top Bottom