Dokii akiri kuvuta bangi

mmmhh hakuna kitu nakionea huruma dunia hii kama pombe..
mmhhh pombe inatufurahisha halafu baadaye tunaisingizia mabaya yote...

Ila mi naona naweza kufurahi japo sinywi pombe, nashangaa ninyi mnajisikia vipi mkiwa mmelewa, maana wengi nawaona mnasinzia tu kwenye viti!!
 
Ni kweli kuna jirani yangu alichukizwa na mama mkwe wake akaenda kulewa na kumtukana vibaya kesho yake anadai mama ni pombe tu nisamehe,nikataka kusema mbona ulisema unamnywea yeye pale bar ?
 
Hayo maji yenu bwana mi naona yamenipita pembeni. Kila anayekunywa akigundua mi sinywi ananiambia nisiguse hata kidogo. Sasa nashindwa kuelewa mbona wao wanaendelea? Inasemekana ukishayanywa ndo unaanza kuona kila binti mrembo.

hahahah lol umenichekesha sana..
unajua mtu hawezi kukukataza weye kufanya kitu...
kama kweli unataka kujaribu haayaa..( hapo ndo utajua jibu la kweli)

mie binafsi naona
kama wewe uki control alcohol na alcohol haiku control wewe..
hapo sioni tatizo kabisa..
ni pale tunapoipa pombe uhuru kupita kiasi ndo inapo tupotezea heshma...
 
Nina mwili mzuri unaounguza chakula haraka (metabolism) vitu vyote hivyo siongezeki hata robo kilo.Nikinywa pombe kali si ntakonda kabisa ?

hhahahah lol basi unaraha..
sio sisi wenzio unakumba kila calory unayo iweka mwilini..
kama hukumbuki basi ni unaenda kulala gym haahalol
 
Ila mi naona naweza kufurahi japo sinywi pombe, nashangaa ninyi mnajisikia vipi mkiwa mmelewa, maana wengi nawaona mnasinzia tu kwenye viti!!
Ukiona wanaosinzia kwenye viti walichoka kabla ya kunywa pombe,mi nikitaka kulewa jioni nalala hata lisaa limoja kabla ya kwenda bar.
 
Ila mi naona naweza kufurahi japo sinywi pombe, nashangaa ninyi mnajisikia vipi mkiwa mmelewa, maana wengi nawaona mnasinzia tu kwenye viti!!

hahahah lol kuwa sober ina raha yake pia..
lakini pombe ni kama chees..
in utamu wake na pia inauchungu wake lol
usiache iku control then will b fine..
 
Ni kweli kuna jirani yangu alichukizwa na mama mkwe wake akaenda kulewa na kumtukana vibaya kesho yake anadai mama ni pombe tu nisamehe,nikataka kusema mbona ulisema unamnywea yeye pale bar ?

hahahahahhahah lol
dunia hii ina vituko jamani..
kweli umenichekesha sana
sina hamu hahahah lol
 
hahahah lol umenichekesha sana..
unajua mtu hawezi kukukataza weye kufanya kitu...
kama kweli unataka kujaribu haayaa..( hapo ndo utajua jibu la kweli)

mie binafsi naona
kama wewe uki control alcohol na alcohol haiku control wewe..
hapo sioni tatizo kabisa..
ni pale tunapoipa pombe uhuru kupita kiasi ndo inapo tupotezea heshma...

Ah, haya bwana, maji yenu hayana sukari. Ila watu wanaokunywa pombe nadhani hawana rekodi kubwa ya kujiua. Very likely inawakutanisha na watu wengi hivyo pressures nyingi zinapungua. Sipati picha ningekuwa nakunywa ingekuwaje!! Nahisi ningekuwa naongea sana, bora hivi nisivyokunywa.
 
hhahahaha lol
pombe ina effect kila mtu tofauti..
kuna ambao wanaongaea sana,
kuna ambao wanacheka sana,
kuna ambao wanalia, na kuna wengine mmhh ndo muda wa kucheza

lakini wengi wao nilio kutana nao ni ajili ya kuondoa aibu na wengi wanapenda kuongelea shida zao ..

hata mie nilidhani ntakuwa muongeaji sana lakini mmmhh haikutokea hivyo..
mpaka ujaribu ndo utajua..

usema ukweli kama hunywi kabisa ndo safi nani afya...
lakini kitu kama red wine sio mbaya kabisa...
 
haya uporoto
kunywa power red kuondoa hangover kesho..
nite nite dear...:angel:
Sipatagi hangover kabla ya kulala nameza multivitamin tab,omega 3 cap na tylenol moja kwisha kazi.

Poa mkuu, usiku mwema pia. Ngoja nifaidi avatar ya Afrodenzi hapa.
Sijui unajua karate au judo jamaa yake aitwae The Finest mkali kama pilipili take care bro.
 
Sipatagi hangover kabla ya kulala nameza multivitamin tab,omega 3 cap na tylenol moja kwisha kazi.

Sijui unajua karate au judo jamaa yake aitwae The Finest mkali kama pilipili take care bro.

hahahha lol kama unajitunza kiasi hicho basi hiyo fresh...
haya bwana tusikusumbue zaidi weye lala salama utatukuta hapa ukiamka ....
 
Mgongo una nafasi yake. Huwa nashangaa wadada mnajifunga kanga huku mmeacha migongo wazi. Huwa hamjui mnatuharibia concentration?

mmhhh mie nilidhani ni pale tu dada akitoka bafuni na kanga moja
kajifunga ili akauke mwili..
nilidhani hapo ndo mna loose concentration hahahaha lol:frog:
 
Sipatagi hangover kabla ya kulala nameza multivitamin tab,omega 3 cap na tylenol moja kwisha kazi.

Sijui unajua karate au judo jamaa yake aitwae The Finest mkali kama pilipili take care bro.

Judo naijua lakini huyu jamaa The Finest hata mi namuogopa sana siku hizi. Asije akazuia maandamano yangu kwa kigezo cha "Taarifa za Kiintelijensia"!
 
mmmmhh jamani tusiogopane hivyo...
tumuogope Mungu
lakini sisi tuheshimiane tu...
au wa semaje???
 
mmhhh mie nilidhani ni pale tu dada akitoka bafuni na kanga moja
kajifunga ili akauke mwili..
nilidhani hapo ndo mna loose concentration hahahaha lol:frog:

Aaah wapi, mitegp iko mingi. Mtu akipiga kimini ujue hilo ni balaa jingine. Ndiyo maana ajali za barabarani zinazidi kila siku.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom