Dokii akiri kuvuta bangi

isjakiangalia kipindi hicho lakini ni vizuri kukiri lakina akiacha kabisa ni vizuri sio kukiri tu au vipi JF.
 
nimemsikiliza amesema alijaribu kupiga pafu lkn hakuona chochote cha maana sidhani alimaanisha km heading yako inavyowakilisha. alionja na si kuvuta
 
nazani tuliposomeshwa classification tuliambiwa bangi inaingia kwenye
kingdom - plant
species - salad

au sjui yule ticha alikuwa anaifagilia tu, sababu nakumbuka sote tulifeli baioloji.
 
nazani tuliposomeshwa classification tuliambiwa bangi inaingia kwenye
kingdom - plant
species - salad

au sjui yule ticha alikuwa anaifagilia tu, sababu nakumbuka sote tulifeli baioloji.

Kingdom - Plantae
Genus - Cannabis
species - sativa

(Scientific name: Cannabis sativa)
 
Du!! sina neno hapo japo sayansi yangu naona inashangaa kama bangi ni aidha sedative au anaesthetic. Nachojua yenyewe ni hallucinogen.

yaani unataka kusema huja wahi sikia
kwamba hata madactor wana prescribe
kwa wagonjwa wao.... marijuana/ cannabis

l
 
yaani unataka kusema huja wahi sikia
kwamba hata madactor wana prescribe
kwa wagonjwa wao.... marijuana/ cannabis

l

Navyojua hakuna prescription ya marijuana kwa medical condition haipo kwa kuwa marijuana haina sifa ya kupunguza/kuondoa maumivu (anaesthesia), pia siyo sedative (kitulizo cha hisia) cha kukubalika kwa kuwa yenyewe huleta kuweweseka (hallucination) na effect yake kwa mtumiaji huathiriwa na tabia ya mtu husika. Ndiyo maana kuna watu wakivuta bangi hupooza/hawawi active wakati wengine wakivuta ndiyo hupata mzuka wa kupiga watu. In summary, medically, bangi si depressant wala stimulant.
 
Nashanga unaposema nijuavyo na kumbe hujui marijuana wacha kuwa prescribed mpaka chemists wanazo North America na ukienda na cheti unapewa.
 
Pamoja na ugonjwa huu wa kushindwa kulala mpaka nimeona mgongo wa AD? Napita tu besti nimetoka kunywa bia 11 si unajuwa kesho sikukuu ? usiku mwema niote sawa.

Halafu hawa wadada na migongo yao bwana, tunajadili mambo ya marijuana (mmea), tunaletewa marijuana binadamu (mgongo).
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom