truckdriver
JF-Expert Member
- May 7, 2012
- 557
- 257
vipi opportunities za biashara ya usafirishaji kwa kutumia semi trailor zinapatikana au ndio zimeshikwa na makampuni kutoka south africa?
wale jamaa washamba hawajui lugha nyingine zaidi ya kireno wao wanaamini kireno ndio lugha kubwa duniani,ila kama ukijua kimakua au kimakonde kwa mikoa ya nampula,niassa na cabo delgado unaweza ishi vizuri tu,kuhusu usalama upo ila kama ukiwa mtulivu hasa kwa mademu wa watu otherwise utaishiwa kukatwa mapanga
Basi kumbe language ni barrier tosha kun
Mkuu Sabayi kuna mdau mmoja aliyeko huko alisema wanatumia wenyeji wanaofahamu kiswahili pia. Mie bado niko optimistic kwamba lugha ni tatizo lakini si kubwa kiasi cha kusitisha mipango mizuri. Nikiwaangalia wachina napata shule nzuri tu.
DAH ATLEAST WEWE UMEONGEA UKWELI,NIMEFANYA KAZI VODACOM MOZAMBIQUE MWAKA WOTE WA 2012 NIMEZUNGUKA KILA WILAYA NA MKOA WA MSUMBIJI KUFANYA INSTALLATION KTK MINARA YA VODACOM JAMAA WAPO NYUMA SANA KIMAENDELEO WANAPENDA NGONO NA POMBE ALAFU WAMELALA SANA KAZI HAWATAKI KUFANYA,SO UKIENDA MBONGO KAMA UPO SERIOUS SEHEM ZA KUWEKEZA NI KTK SECTA ZA USAFIRI,CHAKULA NA GUEST HOUSE HIVYO VITU WAPO NYUMA KUPITA MAELEZO WANAISHI KWA KULA SCONZI (PAU) SO UKIWAPELEKEA UNGA,VITUNGUU VYA BONGO,MIHOGO,NYANYA AU MCHELE USHAWIN,UPANDE WA GESTI NIKWAMBA JAMAA WANAPENDA SANA NGONO SO SHORTTIME KWAO NDIO DILI NA INALIPA JUST IMAGINE KA GEST BUBU KANATOZA 250 hadi 500 karibia elfu 25 ya bongo kule wamelaa wewe wapelekee hata madela watanunua wale washamba rais wao chisano alisema mwenyewe kuwa rai wake pengine hadi 2020 ndio wataanza kuamka mreno alisha waaribu akili wale WANADHANI UKIJUA KIRENO NDIO UMEJUA LUGHA ZOOTE DUNIANI KUWA MAKINI NA ASKARI WA KULE WAO WANAAMINI MGENI=DINHERO (PESA),MWINTU OBRIGADO AMIGO
.
Hamna sumbufu wowote uwe na pesa ya kulipia mzigo tu ila kama utapitia nchi nyingine ndo ufike mozambigue ndo utapata usumbufu kidogo inakubidi kuacha bondi pesa kidogo mfano unatoka tz kuja mozambigue kupitia malawi au zambia ndo unatakia kuacha dispot kwenye boda za nchi utakazopitia
kaka nadhan italipa kwa sabab hata mafund mara zote ninao watumia kunifanyia wiring ni wa kitan tu wamekariri ukileta kitu kipya wanashindwa Ila construction inalipa kuna mbunge wa kama ckosei n mtwara alikuwa nayo Huku na contracts alikuwa nazo za kufa mtu, watu wa Huku wanataman sana kuwa na vitu vizur Ila mafund wa Huku kwa sio competent pia gharama zao ziko juu sana. Njoo usurvey kwenye hiyo industry yako Ila by 100% utakimbia pesa.
Acha woga mbona site tunamaduka tatizo wengi wanaosema hivo hawatafut vibaliSPEEED,nilisikia serikali ya mozambiq hairusu watu binafsi kufungua maduka ya dawa
Acha woga mbona site tunamaduka tatizo wengi wanaosema hivo hawatafut vibali
mtaji na faida inategemeana na biashara na wakat wenyewe, kwa mfano kwa wale wanao deal na nguo, kipindi cha mavuno speed huwa kubwa sana na Hapa mara nyingi faida huwa ni mara mbili kwa maeneo kama Pemba na Beira Ila cku za kawaida faida ni kiasi kwa upande wangu Ila kubwa kuliko sehem yoyote tz. Kuhusu mtaji, Hapa return inategemeana na maeneo Ila kama unataka super profits, ya 4 times nenda Maputo. inshot ni hivi Huku hakuna gerej za maana,hospital hakuna, maduka ya dawa n kama hakuna kabisa, misos ndo wanategemea mostly imports especially azam ndo muuzaj. nadeal na misos, experience yangu kama unaweza wekeza kwenye mikate unataka rt hiyo bas jiandae na running capital ya usd 2500 kwa mwez