Dogo unaharibu diliii!!

Kuna jamaa alikuwa anatafuta kazi kwa muda,mara akafika kwenye Zoo moja kuomba kazi,akapewa kazi akatakiwa awe Gorilla a.k.a baboon,basi akawekwa banda la juu,akavalishwa sanamu akawa kama sokwe la ukweli,basi siku 1 wakati watalii wamekuja kutembelea Zoo yeye kwa manjonjo akawa anaonyesha madoido anaruka ruka kama Gorilla wa ukweli,mara mbao ikakatika jamaa akadondokea kwa simba,ile kufika tu chini jamaa akapiga,Maaaamaaa nakufaaaaa,basi yule simba akamjibu,Dogo nomaaaa unaharibu dili weweeeee!!

hahahaaaaa... kumbe wote ni walewale?
 
naskia ilikua ulaya hio, kupata kazi shughuli ndo ikabidi wawe wanyama, ni noma
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom