dogo ni noma

CharmingLady

JF-Expert Member
Apr 16, 2012
18,250
12,868
dogo mmoja 4yrs huwa anapenda kuwatch tv. sasa mara nyingi huona tangazo la soda ya mountain dew linalosema "kuna wanyamapori wanaoweza kufunzwa si mountain dew". basi cku moja akamuuliza mamaake "eti mama kwanin mountain dew hawezi kufunzwa" mama hoi kwa kicheko. hebu tuambie kichekesho cha madogo hapa kwenu/kwako/mtaan
 
Kuna dogo mvulana hapa kwangu ana karafiki a kike jina Neema wanasoma nako, sasa niliwahi kumtania dogo Neema ni mpenzi wako? Kaka jibu hamna yule huwa natembea nae tu. Aise dogo noma.
 
Kuna dogo mmoja alikutana na mama mjamzito hapa kitaani na mazungumzo yao yakawa hivi:- DOGO: we mama sikamoo. MAMA: barahaba mtoto mzuri haujambo?. DOGO; sijambo..,mbona tumbo lako kubwa?. MAMA; ahaa, humu kuna mtoto mzuuri kama wewe. DOGO: sasa mbona umemmeza!?
 
mama akaendelea kumjibu.
Mama: sijammeza jamani?
Dogo: sasa tumboni alifikaje?
Mama: baba yake ndo kamuweka/kamwingiza?
Dogo: Baba yake kamweka?
Mama: Ndio mtoto mzuri.!
Dogo: Alimwekaje/alimwingizaje humo tumboni.!!?
Mama: ...............!!!!!!!???
 
Kuna dogo mmoja alikutana na mama mjamzito hapa kitaani na mazungumzo yao yakawa hivi:- DOGO: we mama sikamoo. MAMA: barahaba mtoto mzuri haujambo?. DOGO; sijambo..,mbona tumbo lako kubwa?. MAMA; ahaa, humu kuna mtoto mzuuri kama wewe. DOGO: sasa mbona umemmeza!?

du!
Hii kali!
 
Back
Top Bottom