dogo kwaa kinyozi

Judi wa Kishua

JF-Expert Member
Apr 15, 2012
1,066
1,047
[h=5]Jamaa kaingia kwa kinyozi na mtoto,akaomba anyolewe nywele na ndevu.

Alipomaliziwa akasema mtoto pia anyolewe,akaaga kuwa anaenda dukani kumnunulia mtoto viatu.

Masaa matatu yakapita jamaa bado haonekani.Kinyozi akamwambia mtoto,"Oya babako amekusahau?"

Mtoto akajibu,"Yule sio baba yangu...mi nilikuwa napita hapo nje,akanishika mkono akaniambia tuingie hapa tunyolewe bure!"
[/h]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom