Dogo Janja kazana na Elimu...itakupeleka mbali....

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
Dogo Janja,we bwana mdogo sana ndani ya medani ya Music....
Nakushauri komaa na Elimu,itakufikisha mbali,uwezo wako wa utungaji wa mashairi utakuwa...kikubwa sasa uangalie na Maisha ya madogo wenzako wa mtaani,watoto yatima,waliokimbiwa na wazazi,wanaofanyishwa kazi,then fyatuka na nyimbo zitakazo walenga watoto wenzako na zitakazo beba ujumbe wa kuwatia Moyo...Achana Starehe zitakupoteza mapema...
.....elimu ndo kila kitu...
 
Wengi walikuwepo sasa hivi wako wapi... Wako wapi.
Balozi bado nipo, ninapanda kwenye chati... Kweny chati,
Nashika ileiile, ile moja namba, natamba......
Maneno ya Dolla Sol kwenye wimbo wake 'Balozi'
Leo amepotea na hatumsikii tena.
 
sijui naye yuko wapi
 
Huyu dogo namuona mitaani ila inaonekana amekosa mtu wa kumuongoza, shule inahitaji kujituma na adabu ambayo sidhani kama anavyo. I wish angesoma tu kwanza angalau hta afike f6 au chuo
 
Dogo Janja,we bwana mdogo sana ndani ya medani ya Music....
Nakushauri komaa na Elimu,itakufikisha mbali,uwezo wako wa utungaji wa mashairi utakuwa...kikubwa sasa uangalie na Maisha ya madogo wenzako wa mtaani,watoto yatima,waliokimbiwa na wazazi,wanaofanyishwa kazi,then fyatuka na nyimbo zitakazo walenga watoto wenzako na zitakazo beba ujumbe wa kuwatia Moyo...Achana Starehe zitakupoteza mapema...
.....elimu ndo kila kitu...

we elimu imekufikisha wapi mkuu???
 
we elimu imekufikisha wapi mkuu???

apo sasa mmh .by the way elimu ndo ufunguo lakini sio kuwa utafika mbari kufika mbali huwa ni matokeo tu so tusikariri bna kwan maisha kila mtu ana namna yake yakuishi .mi imenifikisha kupokea tu kaamsharaaa bac.
 
amuige Mr Buluu anaweza pata chance ya kummega Wima Sepaatuu, na mastaa wengine
 
Back
Top Bottom