Dogo janja aacha shule,afukuzwa na Madeee na kurudishwa kwao Arusha

Busara siku zote inasema sikiliza pande zote before judging. hapa habari haiko Balanced.
na huu ndio upande wa pili arifu.....kumbe madee pumbavu sana huyu jamaa....aisee

[h=2]KAULI YA KWANZA YA DOGO JANJA BAADA YA KURUDISHWA KWAO NA MADEE.[/h] Posted: 15th June 2012 by MillardAyo in News

18
Dogo Janja akifanya interview na Millard Ayo juzi saa tano usiku Manzese Dar es salaam kabla ya kuondoka kesho yake asubuhi kurudi kwao Arusha.

Kama ulipitwa na hii stori ni kwamba msanii Madee wa TipTop Connection ambae ndio alikabidhiwa kumlea Dogo Janja na kumsimamia kwenye muziki alitangaza juzi kwamba amemrudisha Dogo Janja kwenye mikono ya wazazi wake baada ya kuona muelekeo wa Janja sio mzuri kitabia.
Alisema kwanza Janja alikua mtoro wa shule na mara kadhaa hakwenda shule na alikua akimdanganya, aliwahi kumkuta anaogoelea Ubungo Plaza wakati wenzake wako shule, amekuta msg za matusi ambazo Dogo Janja aliwatumia watu wengine kuhusu Madee na makosa mengine kadhaa.
Dogo Janja ambae sasa hivi karudi Arusha tayari amefunguka kila kitu katika Interview ya Dakika 40 Exclusive on millardayo.com na yafuatayo hapo chini ni baadhi ya mambo aliyoyazungumza.
Amesema "kwanza napenda watanzania wajue kwamba mimi nilikua siishi na Madee nilikua naishi na rafiki yake ambae ni Abdallah Doka Kimara jirani na Madee, Madee alikua haniangalii kwa chochote na niliweka kikao juzi kati tu hapa nilikua nataka nirudi kwetu, kula ni Doka, kuvaa Doka, Hela ya Shule Doka…. ninavyoongea hapa Dogo Janja sijawahi kulipwa hela zaidi ya laki tatu kwenye show, Tanzania hii nimeshaizunguka ujue alafu sioni faida yake nakwenda kwenye show nikirudi napewa laki moja alafu ukiuliza mtu anaweza kukununia sasa nikawa zinanikera lakini nikawa nashindwa kuongea sababu ndio niko pale kwa ajili ninasoma"
KUHUSU ACCOUNT YANGU BANK: "Madee alininyang'anya mpaka kadi yangu ya ATM yani mimi narudi Arusha ni kama nakwenda kuanza maisha mapya hamna ambacho useme labda narudi Arusha ni kama vile nakwenda kuanza maisha mapya hamna ambacho useme labda naweza kurudi Arusha labda kwenye account sijui nina shilingi ngapi, kachukua hela zangu zote kwenye account yani, mi nilikua namuona mwema ananijali aliniambia nenda kafungue account na kiuaminifu pale unatakiwa kuandia namba zako mimi sikuandika zangu nikaandika za Madee, taarifa yoyote ya bank inakutana na Madee, mi siwezi kumtusi yule nitakua namkosea sana hata akinipa radhi inaweza kunipata mi naongea kilicho moyoni mwangu mpaka nimechukua hatua hii"
Dogo Janja akiwa na kaka yake ambae ndio alimchukua baada ya Madee kujiondoa.

KURUDISHWA KWANGU ADA SHULENI NA KIWANGO CHA PESA BANK: "Na jina lote hili Dogo Janja nilikua narudishwa ada nyumbani, nikachukua hatua nikaenda kufanya show ile hela yangu ya show baada ya kurudi nakumbuka alitoa laki mbili na 60, hela ilikua yangu akaniambia… Ahh Janja hapa sina hela nyingine nenda katoe kwenye account nitakurudishia.. ni brother alafu mi namuheshimu sana, kadi yangu ya bank yeye ndio alikua anaizuia lakini mwisho wa siku nakuja kuangalia account yangu, mbona account haisomi? na kadi yangu yeye ndio alikua nayo… Millard nakwambia ukweli wa mwenyenzi Mungu mimi account yangu haikuwahi kufikisha shilingi milioni moja na kila show ninayofanya nalipwa shilingi milioni moja, naongea mbele za mwenyenzi Mungu mimi mtoto wa kiislamu naitwa Abdulaziz"
KUHUSU SHOW YA MWISHO KUIFANYA KABLA YA YEYE KUNIPIGA: Madee alinipigia simu jumapili akiwa Iringa ambapo jumanne wenzangu walikua wanaanza mtihani,nilimwambia niko na Hassan nyumbani kwa Tunda akasema ana kaka yake Kibaha alikua na show ya CCM alikua anamtaka lakini akaona hawezi na analove na bro akashindwa kukataa, roho ilikua inaniuma mimi hapa mimi nakwenda kufanya show kwa laki moja… alafu hapo niko na backup wangu nimempa elfu 20 mi nikabaki na elfu 80 alafu hiyo 80 anakupigia…. wee sikia elfu 50 hiyo kaweke bank, elfu 50 tumia…. mi nikafanya kipeace tu nikaenda kwenye show huyo brother wake kachelewa kuturudisha hapa saa saba usiku kwa sababu ujue mimi sina usafiri na yule jamaa alikua anasubiri mishe zake zote zikamilike alafu asubuhi nilikua natakiwa kuingia shule, kosa sio langu ni la huyo kaka yake Madee.. sikwenda shule jumatatu sababu nilichelewa.. hivi hata wewe Millard unaweza kulala saa saba ukaamka saa kumi??????! hiyo siku ndio nilitakiwa kwenda kuchukua namba ya mtihani nikapangwe la dawati langu ili jumanne nifanye mtihani, nilipoona nimechoka nilimpigia mwalimu wa Darasa nikamwambia siwezi kwenda shule jumatatu akaniambia hamna neno mi nikienda jumanne siku ya mtihani niende asubuhi nitapata"
Madee akiwa na Dogo Janja kwenye moja ya showz zao.

JINSI MADEE ALIVYONIPIGA: Nilikua nyumbani kwa Tunda Man na Hassan ambae aliniacha baada ya kutumwa, nimekaa kidogo natoka hivi nakutana na Madee geitini hajaniuliza chochote zaidi ya kuanza kunipig, kanichezeshea mikono kanipiga makofi alafu kanidhalilisha yani mtaa mzima umekusanyana pale kwa Tunda Man, t shirt ilichanika na akanikatalia kupanda kwenye gari… roho iliniuma palepale alafu alivyonikatalia kupanda kwenye gari huku akiniambia anikute nyumbani baada ya dakika tano, roho iliniuma nikasema haya yote nayapata kwa sababu mimi ndio nataka na napenda muziki na napenda baadae niwe na maisha bora, niliongea na wazazi wakaniambia nivumilie lakini kiukweli nikasema siwezi tena kuishi Dar es salaam na leo June 13 2012 ndio siku ya mwisho kuishi Dar es salaam hapa ninavyoongea, jioni niliitisha kikao nikampigia Doka, Madee, na kaka yangu huyu nikaulizwa labda kuna kitu Madee hanifanyii mi nikashindwa kuongea nikasema bwana mimi sitaki chochote mi nirudisheni kwetu ujue Millard mpaka mimi nachukua maamuzi haya kwamba naomba nirudishwe kwetu, nimeomba nirudi kiroho safi tu lakini nashangaa yeye anapokwenda kuongea mambo mengine kwenye media, mi namshangaa yule ni mtu mzima anajielewa ujue, sasa mimi sijui kwa nini amekua hivyo"
KUHUSU MADEE KUMUOMBA BABA YANGU ANIAMBIE NISIONGEE CHOCHOTE KWENYE MEDIA:"Alimpigia simu baba ya kumuomba nisizungumze chochote kwenye media akidai kwamba itakua aibu kwangu na kwake, mimi niko hewani lakini hakunipigia.. baadae nikapata simu kutoka kwa bro akaniambia niongee na mama nilipoongea nae akaniambia Madee kasema nisiseme chochote kwenye radio, sasa imefika jioni nikashangaa nikamsikia sasa nikajiuliza kwa nini kaongea? na mimi siwezi kumpigia yule simu yani nimeshaapia kwa mwenyeenzi Mungu siwezi kumpigia simu.
KUHUSU MIMI KUACHA MUZIKI: "Roho inaniuma kichizi nimeona hiviii, yani huu mziki huu kwa sababu haunisaidii chochote, mimi narudi Arusha ni kama narudi tena kuanza maisha mapya kwa hiyo mimi nimeona bora tu kama inawezekana huu muziki naweza kuacha na nitaishi kama zamani kwa sababu kwetu sijaua, nimeona bora nitulie nyumbani ujue mpaka Millard pale nimeomba kabisa jamani Eeehe nirudisheni nyumbani kwetu, nasema Inshallaah mwenyeenzi Mungu yupo na mimi na riziki hapangi Madee riziki anapanga Mungu"
KUHUSU KUSOMA DAR ES SALAAM: "Sitaki kabisa kusoma Dar es salaam mimi nakwenda kusoma Arusha au mkoa wowote sitaki tena.
Hiyo ni sehemu tu alichokisema Dogo Janja kuhusu yeye kuondoka kuwa chini ya Madee na kurudi nyumbani kwao Arusha, mengine utaendelea kuyasikia kupitia AMPLIFAYA ya CLOUDS FM leo saa moja usiku na pia hapa millardayo.com! kuna picha za hizo msg pamoja na msg ya mwisho Janja kumtumia Tunda Man, vyote ni Exclusive on millardayo.com

source...millardayo.com
 
inavyoonekana arifu madee si mkweli.....dogo janja nimemsikiliza aiseee anasema ukweli mtupu......
Yo Yo du! basi ni hatari sana kwa hawa wasanii wachanga,nadhani kuna watu kama huyu madii wanawadhulumu sana .Inabidi hili swala liangaliwe kwa makini sana na ikibidi vyombo husika viwachukulie hatua watu wa aina ya madee.
 
Last edited by a moderator:
na huu ndio upande wa pili arifu.....kumbe madee pumbavu sana huyu jamaa....aisee

KAULI YA KWANZA YA DOGO JANJA BAADA YA KURUDISHWA KWAO NA MADEE.

Posted: 15th June 2012 by MillardAyo in News

Naamini humu kuna wanasheria ambao wanaweza kumsaidi huyu bwana mdogo kama asemayo ni ya kweli,hope Albedo umemsikia dogo janja vyema .Kitendo cha mtu kuchukua Card ya bank ya mtu mwingine na kwenda kuchomoa pesa ni kitendo cha hatari sana ,huu ni wizi ambao sio vyema kuufumbia macho.Ushaidi wa jambo hili huwa unakuwa wazi kwani kuna kamera pindi mtu atoapo fedha inamnasa.
 
Last edited by a moderator:
Hivi huyu Dogo Janja ameshafikisha miaka 18? nauliza tu, maana wenzetu walioendelea mkataba wa mtoto under age ni lazima usainiwe chini ya uangalizi wa Wazazi.
Kama mambo yenyewe ndio haya basi ile nyumba inayoitwa ya vipaji ( THT ) kutakuwa kunafanyika dhuluma ya kufa mtu, mimi sielewi hivi vyama sijui Basata n;k kazi yake hasa ni nini?
 
Hawa watoto wakipewa tahadhari mapema wanaona kama wanaonewa wivu sababu wanapata airtime,acha waendelee kulizwa na hawa matapeli wa tiptop+mkubwa fela+tht...uko tiptop kuna kina mb dogg,z anto,keisha nk wamepitia uko na kilichowakuta ni majuto...mb dogg alivunja rekodi ya mauzo kwa muhindi wakati wake lakini pesa aliyoambulia haikufika ata mil1,yote iliyobaki kachukua meneja bab tale,kuna kipindi uyo mb dogg alipata uchizi kutokana na kumbukumbu mbaya za utapeli aliofanyiwa kisha akatelekezwa kama leo dogo janja.
 
Huyu mtoto namfananisha na Justin Bieber, nadhani wanalingana kiumri, sasa hivi Bieber ni Milionea kama sio Bilionea kwa sababu ya muziki tu, hapo ndipo unapojiuliza Hivi sisi Waafrika nani katuroga??!!!... eeeeshh

wewe unajifananisha na nani wa unyamwezini?hata droo ya maisha unatoa nae huyo mtu?....bongo!bongo!na mbele ni mbele!usifananishe utajikuta unatukana hata wazazi wako
 
kasi ya Tanzania huyu dogo asingeiweza bora arudi kwao hapa angeishia kula unga!Tanzania ina wenyewe acha arudi Ngarenaro!
 
mbele mbele na bongo bongo,,,,, sema wabongo tumezidi,, tunakaba mpaka penati!!!!!!!!!!
 
Arifu huu muziki ni wa watoto, huyu Madee alikuwa nakula kupitia dogo huyu, sasa ajiandae kurudi benchi.
Kiukweli kuna exploitation ya hali ya juu hasa kwa hawa wasanii wadogo. Yafutatyo ni baadhi ya mambo wanayofanyiwa
  1. Kuibiwa nyimbo hasa kwa kuwa hawana pesa/ mtaji wa kulipia kurekodi muziki
  2. Kutumikishwa kwa ujira mdogo na hawa wasanii wenye umri mkubwa
  3. Kutumwa/ kubebeshwa madawa wanayosambaza (wasanii wengi ni ma-pusher)
  4. Vipigo wanapokataa shuruti
  5. Kunyimwa haki mbalimbali kama elimu, kupumzika n.k
Kwa sheria za mtoto na sheria za kazi, nashauri vyombo husika virejee kazini, wasitishe likizo waliyojipata hasa baada ya JK kuingia madarakani/ walipopata semina ya Ngurdoto.
 
Back
Top Bottom