Dogo Bwana!!!!!

Likwanda

JF-Expert Member
Jun 16, 2011
3,910
1,131
Mwalimu: Baba yako anamiaka mingapi?
Dogo: Ni miaka saba kama mimi.
Mwalimu: Acha utani, itakuwaje uwe umri sawa na Baba yako?
Dogo: Unajua Baba aliikataa mimba, ila alikuja kukubari baada ya mimi kuzaliwa nikiwa ninafanana naye sana. Hivyo alikuwa Baba yangu siku niliozaliwa.
 
Huyo wa chini si anakunywa juisi ya naenyonywa,hapo ndipo mwanaume anapo pata mimba
 
Back
Top Bottom