Dogo auza figo ili kununua Ipad 2

Zasasule

JF-Expert Member
Aug 12, 2009
1,001
103
This appears to be the case with a 17-year-old Chinese boy who reportedly decided that he would not give his right arm for an ipad 2, but he would give his right kidney.

he said this
I know, I know. It doesn't seem entirely sensible. On the other hand, you can live quite happily with just one kidney. It's a lot harder with, say, just one foot.


more information here is the link
Boy regrets selling his kidney to buy iPad -- Shanghai Daily | ???? -- English Window to China New


dah..dogo kauza figo kisa na mkasa i pad 2

anapenda technology zaidi ya maisha yake!!!duh
 
hii ndiyo i pad 2
eg8WA.jpg
 
Wanataka umaarufu hao. Hapa China umaskini upo lakini si wa kiasi hicho. Serikali yao ina scholarship nyingi sana na inamipango mizuri ya kusaidia jamii maskini sasa yeye amekosa misaada kote huko mpaka auze figo kwa kununua ipad ya Yuan 800? Dogo anataka kujitangaza tu
 
Pumbavu zao, huu ni uzushi na hauna tofauti na april fool's day.

Hili ni tangazo la biashara kwa wanaotengeneza ipad.

They want us to believe that ipad 2 can be worthier than human kidney in that case.
 
mh!watu kwa kutafuta umaarufu....tena anautafta kwa njia ya ajabu....naona ni dark fringe tu....:shut-mouth:
 
Back
Top Bottom