dogo aomba apewe nchi na JK

kilimasera

JF-Expert Member
Dec 2, 2009
3,068
268
katika maandamano ya CHADEMA mbeya dogo anaomba JK amkabidhi nchi kama imemshinda!je dogo ataweza akipewa???

dogo.jpg
 
maisha yanazidi kua magumu kila kukicha afadhali ya jana na bei za mafuta nasikia zinapanda na umeme mgao mkubwa un akuja yaani shida tupu!
haha,nahisi mkuu akiona gazeti leo atacheka sana kwa majonzi
 
ha ha ha ha, hii ni kali ya kufunga siku- duh.

Dogo kaona mambo hayasogei
a) Hana uhakika na shule
b) Hana uhakika na afya yake
c) Hana uhakika na sehemu ya Malazi

Dogo anawakilisha kundi kubwa sana ambalo baadaye eti ndiyo future ya Tanzania wakati tunaua kila kitu.
 
maisha yanazidi kua magumu kila kukicha afadhali ya jana na bei za mafuta nasikia zinapanda na umeme mgao mkubwa un akuja yaani shida tupu!

Unasikia?
we unaishi wapi mwenzetu?
hongera sana,endelea kusikia tu ila usi experience hali kama hiyo,...
mafuta ya taa lita 1750,
super 2050,...
lakini watanganyika bado wana cheka tu,tabasamu tele maisha ni mazuri bado!
Ukiona watu hawalii,au anaalilia nyumbani basi maisha bado mazuri
 
Mkuu mbona super ni zaidi ya 2050.

Kwa mujibu wa Ewura, bei ya petroli imepanda kwa asilimia 2.57, dizeli imepanda kwa asilimia 1.58 na mafuta ya taa yamepanda kwa asilimia 1.94. Taarifa hiyo ya Ewura inaeleza kwamba bei ya dizeli jijini Dar es Salaam itakuwa kati ya Sh. 2,123 hadi 2,282 wakati mkoani Kigoma mafuta hayo yatauzwa kuanzia Sh. 2,354 na kikomo ni Sh. 2,530 kwa lita.
Taarifa hiyo ilieleza kuwa bei hiyo mpya ya mafuta inaanza kutumika leo kwenye vituo vyote vya kuuzia mafuta vilivyoko nchini, na kueleza kuwa mafuta ya petroli yamepanda kwa asilimia 2.57, dizeli imepanda kwa asilimia 1.58 na matuta ya taa yamepanda kwa asilimia 1.94.

Source IPPMEDIA: Home
 
mkuu poleni sana nafikiria hapa namna ya kurudi mbona balaa
Unasikia?
we unaishi wapi mwenzetu?
hongera sana,endelea kusikia tu ila usi experience hali kama hiyo,...
mafuta ya taa lita 1750,
super 2050,...
lakini watanganyika bado wana cheka tu,tabasamu tele maisha ni mazuri bado!
Ukiona watu hawalii,au anaalilia nyumbani basi maisha bado mazuri
 
huyu dogo akipambanishwa na jk bila kuchakachua kura,dogo anashinda kwa kishindo
 
duh kweli katiba inabidi ibadilishwe...hadi madogo janja wanataka kuingia ikulu. Ujumbe delivered!! kwamba ikulu kuna kichaa kimevimba!!
 
Mkuu mbona super ni zaidi ya 2050.

Kwa mujibu wa Ewura, bei ya petroli imepanda kwa asilimia 2.57, dizeli imepanda kwa asilimia 1.58 na mafuta ya taa yamepanda kwa asilimia 1.94. Taarifa hiyo ya Ewura inaeleza kwamba bei ya dizeli jijini Dar es Salaam itakuwa kati ya Sh. 2,123 hadi 2,282 wakati mkoani Kigoma mafuta hayo yatauzwa kuanzia Sh. 2,354 na kikomo ni Sh. 2,530 kwa lita.
Taarifa hiyo ilieleza kuwa bei hiyo mpya ya mafuta inaanza kutumika leo kwenye vituo vyote vya kuuzia mafuta vilivyoko nchini, na kueleza kuwa mafuta ya petroli yamepanda kwa asilimia 2.57, dizeli imepanda kwa asilimia 1.58 na matuta ya taa yamepanda kwa asilimia 1.94.

Source IPPMEDIA: Home

Ndio maana dogo kaomba kuongoza nchi,...
yaani maisha magumu ila watanzania wako kimya kweli,...
kama vile unaona ni magumu peke yako
 
Back
Top Bottom