Dogo anapiga sana mabao.

mayenga

JF-Expert Member
Sep 6, 2009
4,118
1,966
Ninaishi na mdogo wangu,hana tatizo la kukojoa kitandani,lakini akiamka mashuka yamelowa kwa shahawa zinazomtoka akiwa usingizini.Tatizo ni nini?
 
Mayenga sorry wewe ni kaka au dada?

Kama ni Kaka mbona unashangaa kama vile wewe huya /hukuwa unayapiga mabao?Binafsi am not a Teen ager lakini bado siku moja moja napiga mabao.The positive side ya hiyo ni kuwa dogo ana afya njema.

Sasa kupunguza ni kumtafutia extra activities kama za nguvu au kumwambia awe anapiga tizi sana jioni . akichoka atalala uzingizi fofofo . Hii inaeza kusaidi kidogo kama alikuwa anapia mabao ma4 atapiga 1ja kwa siku

Kama ni dada hiyo ni hali ya kawaida kabisa kwa kijana wa kiume hasa kwenye Teen age. Ni kama vile kwa msichana kwenda MP.

mazoezi anayoweza.kufanya jogging, kuruka kamba kichura chura, push ups. n.k
 
Nashukuru sana mi ni kaka!
 
Ninaishi na mdogo wangu,hana tatizo la kukojoa kitandani,lakini akiamka mashuka yamelowa kwa shahawa zinazomtoka akiwa usingizini.Tatizo ni nini?

sielewi una maana gani, analala bila chupi?bila hata bukta? mabao gani anapiga kila siku hayo ana kiwanda cha mbolea? hata akitoa siku moja, laweza kulowesha kitanda au mashuka kwani hiyo ni lita ngapi mzee, tuwe wakweli, kwani inatokaga lita ngapi hadi iloweshe mashuka namna hiyo, inakuwaje analala uchi, mbona sielewe, jaribu kutueleweshe sisi wengine hapa. sidhani kama mtu akiwa na afya njema kama huyu jamaa anavyosema ndo atakuwa anajipiga hayo unayoita mabao kila siku, nafikiri kuna kiasi kidogo tu kitakuwa kinajipunguza chenyewe automatically kutokana na Mungu alivyotuumba sisi wanaume, lakini sio kukojoa loooote kila siku, labda siku mojamoja tu, na ikiwa hivyo, ni kwa wale ambao muda wote wanawaza ngono ngongo tu, wanaangalia mapicha ya ngono etc, au pepo la ngono limewaingia. sasa, usiku wanakuwa wanawaza.

JAMBO LINGINE, inawezekana huyo dogo ana pepo mahaba, majini ya kike yanakuja kulala naye usiku kila siku, labda yanakuwa ni mabao ya majini ya kike, this is possible, na inatokea kwa wengi. watu wengi tu wameolewa na majini bila wao kujijua, na wengine wanajijua kabisa. kama vile baadhi ya wanawake wanavyoweza kulowesha kabisa mashuka wakati wa kujamiiana, ndivyo na majini yanaweza kulowesha hivyo hivyo yakija kumwingia mtu usiku.

pia ujue, kuna vibabu na vibibi, vichawi vinavyotembeaga usiku kulala na watu bila wao kujijua, this is obvious. wanafanya hivyo as a contract kulisha uchawi wao, kama vile tu wengine walivyo na mkataba wa kukaba watu usiku ili kulisha uchawi wao etc. kwa ushauri, hiyo siyo afya, nenda kanisani kaombewe, mpeleke haraka kanisani. matokeo yake, kama atakuwa na matatizo haya niliyotaja hapa, akija kuoa anawezakuwa hapati watoto, na ndoa itakuwa ngumu kwake kwasababu jini lina wivu na litahakikisha linamfunga yeye au mkewe. duniani kuna mengi.
 
Huyo ni mshambuliaji hatari sana;na anastahili kuichezea arsenal,fanya mpango uongee na Wenger amchukue huyo dogo!!
 
Vijana wanaobalehe ndo kawaida yao. Wanakuwa na manii mengi sana kwani viwanda vyao vinatengeneza majimaji hayo kwa wingi sana. Ndiyo maana kila akilala usiku anajiotea na kumwagika kitandani. Ni umri tu. Baada ya hapo mifuko itaanza kujichuja kwa adabu.
 
jamani. anajiotea na kumwaga kitandani, lita ngapi? sisi sote tulishabahele kipindi cha utoto wetu mazingira hayo tulishapitia. huyo dodo ana miaka yote hiyo 19 na bado analala bila chupi wala bukta, umri huo kubalehe kunakuwa ndo kunaishaisha kwanza...si mtoto huyo.
 
Mkuu, inategemea dogo anakula nini. Kama anakula matikiti maji, anakunywa supu ya pweza, basi utegemee hayo yanayompata. Lakini ujue pia kwamba wanadamu tunatofautiana kwa mengi hata kwa ashki. Kumbe tusione ajabu kijana kuwa na umwagaji usio wa kawaida wa mbegu zake. Kulala na chupi si suluhisho. Kwa kijana kama yeye majimaji hayo yanakuja kwa presha kali sana yenye uwezo hata wa kupenya kaptura na kutoboa godoro. Acha bana! Bomba hilo!
 
kutokwa na manii ni ishu ya kawaida sana kwa kijana wa kiume
tatizo hapo ni kukojoa kitandani hadi na umri wa miaka 19
 
Huyo ana jini mahaba anayemtembelea, Msipochukua hatua haraka hatao mke.
Natamani nikuelewe hapo kwenye bold. Kama ulimaanisha kuoa, sijawahi kuona mtu anaoa mke. Sijui ni hii hangover au ni kutojua kiswahili kwangu.
 
Au anajichua kavukavu usiku...unajua umri huo mara nyingi watu kukamatia kitu wanapolala...ikipata joto tu inaachia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom