Dogo anapata fresh from the oven

KIPUMPUSWA

Senior Member
Jul 16, 2011
106
35
Full maprotini kwa dogo.
 
Attachments

  • kls-wmk.jpg
    kls-wmk.jpg
    32.3 KB · Views: 330
  • kls-wmk123.jpg
    kls-wmk123.jpg
    62.4 KB · Views: 274
Nahisi hapa sio TB pekee lazima kutakua na magonjwa mengi zaidi hebu mnaojua mtujuze
 
Hiyo ndo kitu yenyewe sasa.
Mimi nimepiga hiyo sana tu!
Maza anakamua, mimi nimesimama na kikombbe changu pembeni, napiga kitu cha motooo kutoka kwa mooo!
Sasa hivi hakuna cha malaria wala mafua, nipo fit kama tembo!
Miaka mitatu minne ndo naweza kujisikia mafua kidogo.
Yani sio spana mkononi hata kidogo!
 
[h=3]Hala hala wakuu untreated milk is dangerous.
Unaweza rithi magonjwa ya ng'ombe wako!!!

Angalia hapo chini jinsi unavyoweza kupata TB kama ukinywa maziwa yasiyochemshwa.

Infectious Microbes Found in Cow's Milk[/h]
  • Bacillus cereus: These bacteria produce a toxin that can cause diarrhea and another that causes vomiting. Bacillus cereus spores are heat-resistant and may survive pasteurization. There have even been very rare cases linked to dried milk and dried infant formula.
  • Brucella: Brucella is a bacterial microbe that is found in unpasteurized dairy products. Brucella infection, or Brucellosis, has also been called "Undulant Fever" because of the regular recurrence of fever associated with the disease.
  • Campylobacter jejuni: Campylobacter jejuni is the most common bacteria to cause diarrheal disease in the U.S. and is found in raw milk and poultry. It has an increased chance of causing disease when consumed in milk, because the basic pH of milk neutralizes the acidity of the stomach.
  • Coxiella burnetii: Coxiella infects a variety of animals, including livestock and pets. The microbe can be found in cow's milk and is resistant to heat and drying. Infection by Coxiella results in Q fever, a high fever that may last up to 2 weeks.
  • E. coli O157:H7: This particular strain of E. coli has been associated with a number of food-borne outbreaks and is the cause of bloody diarrhea. Frequently associated with dairy cattle, microbial contamination of raw milk and soft cheeses can result in disease.
  • Listeria monocytogenes: Listeria is a common bacterial pathogen that is found in soft cheeses and unpasteurized milk. It can even survive below freezing temperatures and can therefore withstand refrigeration. It is particularly dangerous to individuals who have weakened immune systems, including pregnant women, AIDS patients, and the very young and very old.
  • Mycobacterium avium subspecies paratuberculosis: This strain of mycobacteria can withstand pasteurization and has been associated with the development of Crohn's disease, also known as inflammatory bowel syndrome. However, whether or not these bacteria can actually infect humans remains controversial.
  • Mycobacterium tuberculosis: The cause of "consumption," a horrific wasting disease that first affects the lungs, Mycobacterium bovis is associated with consumption of raw milk and was one of the most common contaminants prior to the practice of pasteurization. M. bovis causes tuberculosis in cows and can be passed to humans via unpasteurized cow's milk, causing a disease that is very similar to M. tuberculosis.
  • Salmonella: Salmonella contamination of raw milk and milk products has been the source of several outbreaks in recent years. Symptoms include diarrhea and high fever.
  • Staphylococcus aureushttp://infectiousdiseases.about.com/od/diseasesbyname/a/food_staph.htm: Staph aureus produces a toxin that causes explosive vomiting. The disease may be considered a consequence of actual food poisoning from simply consuming the toxin, rather than from an actual infection.
  • Yersinia enterocolitica: Associated with raw milk and ice cream, among other foods, contamination is believed to be a consequence of a breakdown in sanitization and sterilization techniques at dairy processing facilities.
 
Nijuavyo mimi gonjwa pekee linalowatesa masai bcos of taking untreated milk ni TB, no wonder kibongoto special TB hosp iliwekwa karibu yao ili kuwaokoa.
 
Hiyo ndo kitu yenyewe sasa.
Mimi nimepiga hiyo sana tu!
Maza anakamua, mimi nimesimama na kikombbe changu pembeni, napiga kitu cha motooo kutoka kwa mooo!
Sasa hivi hakuna cha malaria wala mafua, nipo fit kama tembo!
Miaka mitatu minne ndo naweza kujisikia mafua kidogo.
Yani sio spana mkononi hata kidogo!
Lo magonjwa yote hapo juu?
You are lucky to be alive.
Umekunywa dawa za kimasai nini?
 
Me masai bana najua hyo kitu sana nimetooko naleng' enzi nikiwa mbugani and ineva be affected.nasema acha hyo maneno watu waendelee kunyw kitu pure masiwa.rafiki tapala kabisa!
 
Hiyo ndo kitu yenyewe sasa.
Mimi nimepiga hiyo sana tu!
Maza anakamua, mimi nimesimama na kikombbe changu pembeni, napiga kitu cha motooo kutoka kwa mooo!
Sasa hivi hakuna cha malaria wala mafua, nipo fit kama tembo!
Miaka mitatu minne ndo naweza kujisikia mafua kidogo.
Yani sio spana mkononi hata kidogo!

Hahahaa, Mkuu sjiu kama maneno hayo ni ya kweli kwa upande wako, lakn kwangu ni kweli tupu mkuu, tena nimecheka sanaa! Mpaka leo wa2 wanashangaa mwanaume miaka kibao sijawahi kuonja "panado". Wabheja ghete!
 
Me masai bana najua hyo kitu sana nimetooko naleng' enzi nikiwa mbugani and ineva be affected.nasema acha hyo maneno watu waendelee kunyw kitu pure masiwa.rafiki tapala kabisa!
We nakunywa ile masiwa mabichi,ndio maana hata ille keswahili shako natelesa
 
Ikiwa umezaliwa katika mazingira ya kuchemsha maziwa basi lazima utapata madhara. Lakini ikiwa ndiyo mazoweya hayo mwili wako unadevelop resistance.

Mimi niliwahi kufanya kazi Mwanza basi nilipofika tu na majigambo yangu chemsha maji mpaka ya kupigia mswaki na kuoshea matunda. Loh nilipigwa na typhoid ya mwaka. Wenzangu wa kule wao mpaka maji kutoka kwenye bomba (yanatoka ziwani) lakini wanadunda bila tatizo.
 
Hiyo ndo kitu yenyewe sasa.
Mimi nimepiga hiyo sana tu!
Maza anakamua, mimi nimesimama na kikombbe changu pembeni, napiga kitu cha motooo kutoka kwa mooo!
Sasa hivi hakuna cha malaria wala mafua, nipo fit kama tembo!
Miaka mitatu minne ndo naweza kujisikia mafua kidogo.
Yani sio spana mkononi hata kidogo!

Hahahahahahaaaaaaaaaaa!
 
Ikiwa umezaliwa katika mazingira ya kuchemsha maziwa basi lazima utapata madhara. Lakini ikiwa ndiyo mazoweya hayo mwili wako unadevelop resistance.

Mimi niliwahi kufanya kazi Mwanza basi nilipofika tu na majigambo yangu chemsha maji mpaka ya kupigia mswaki na kuoshea matunda. Loh nilipigwa na typhoid ya mwaka. Wenzangu wa kule wao mpaka maji kutoka kwenye bomba (yanatoka ziwani) lakini wanadunda bila tatizo.

U r right by 100%. Mfano mimi maji ya dar nikinywa ndani ya 30 minutes huwa niko hoi, lakini nikienda kwetu kilombero yaani nakunywa bila hat ya tumbo kusumbua
 
Kuna mtu aliwahi kunichekesha kwamba kuna mtanzania alienda ujerumani, then tumbo likamsumbua. Jamaa wakamchukua sample karibu zote. walipompima wakamwambia u were supposed to be dead. Jamaa alikuwa na vimelea vya magonjwa yote mabaya lakini alikuwa mzima na ni tumbo tu ndo lilokuwa linamsumbua.

It is a matter of resistance and immunity ambayo mwili imeujenga mwilini.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom