Dogo amenikumbusha mbaali.

Ndibalema

JF-Expert Member
Apr 26, 2008
10,956
4,648
45866_148057648556160_100000557781784_351482_7305615_n.jpg
 
Wakati huo kuoga,kuchana nywele na hata viatu ni hadithi.
Ama kweli inakumbusha mbali.
 
Hiyo kitu sitaishau...mimi nilisahau nikaweka gumba langu kati ya hicho kipago....jiwe likaondoka na kucha langu...du 1974 mpaka leo nasikia maumivu yake
 
haswa kipindi hicho kilikuwa kizuri kweli unaamka asubuhi na mapema siku ambayo hatuendi shule tunajiweka vizuri manati na goroli za chuma kisha tunapanda mlimani kuwinda ndege kanga,shorwe,tetere tukirudi home kimeeleweka.!
big up sana ndibalema.
 
Halafu ikirudi home lazima ucheze na viboko tokea asubuhi hadi jioni ndio unaonekana nyumbani
 
Ilikuwa ukichungulia tu jikoni ukasikia harufu ya maharage, unabeba manati unaelekea porini, ukirudi home ...kinaeleweka,ila nyoka,hasa wale mlalo ndo walikuwa maadui wakubwa!!
 

nakumbuka kwetu jamani!!!kulikuwa na manjiwa mkubwa yanapenda kwenye miti ya minyonyo yale yenye ring nyeusi shingoni ukipata mwawili duh!!damu tunapaka katika manati!!!(Etopito)eti uwemahili katika uwindaji!!
 
nakumbuka kwetu jamani!!!kulikuwa na manjiwa mkubwa yanapenda kwenye miti ya minyonyo yale yenye ring nyeusi shingoni ukipata mwawili duh!!damu tunapaka katika manati!!!(Etopito)eti uwemahili katika uwindaji!!

Yae Majiwa yanaitwa Njiwa Manga...ebama kwanza yanaunguruma...Ulikuwa ukitoka asubuhi unarudi na ndala ushapoteza...kitambo...umejikumpa kidole kinatoa damu na umeweka mchanga..Mungua alikuwa anasaidia kwa kweli attenasi haikuwa na sie...dah.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom