Dogo akiiba mafuta live kwenye mataa ya ubungo

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
binadamu walikuwa wanamuangalia tu
150120121059.jpg
 
mkuu hawa kurasini wanaitwa wapiga nyoka. wenyewe huwa wanafungua matank yanayoenda kupakia mafuta siyo yenye mafuta. Ukifika pale malawi cargo kurasini ndo utashangaa. wapo kama 150. hata hao madreva wamewazoea. ukiwakataza wanakuchanja na topaz mkuu. Mia
 
wanavuta sigara?
 
Mkuu hawa vijana wapo maeneo mengi tu ya jiji esp. sehemu zengu misongamano ya magari...wakubwa wapo ila wamefumbia macho jambo hili...hofu yangu ni siku mpita njia/mwendawazimu atakapotupa kipande cha sigara wakati zoezi la komba mafuta likiendelea...sitaki kufikiria madhara yake kwa kua ataathirika aliyehusika na asiyehusika as well!
 
Saint unatisha kwa mapicha...hapo utakuta kuna wenzake kibao wanamngoja wakiwa wanalinda noma pembeni
 
Cyo anaiba mafuta!

Anaonekana kafungua tool box!
Itamgharimu!
Ila kwa umbali anaonekana anaiba mafuta kweli!
 
mara nyingi huwa linafunguliwa tank ambalo halijajaa mafuta yale yanakuwa yamebakia baada ya kupakua mafuta ndo maana hata madereva hawana time nao. Hiyo ni kazi nzuri ni mojawapo ya kipato kwa vijana
 
mkuu hawa kurasini wanaitwa wapiga nyoka. wenyewe huwa wanafungua matank yanayoenda kupakia mafuta siyo yenye mafuta. Ukifika pale malawi cargo kurasini ndo utashangaa. wapo kama 150. hata hao madreva wamewazoea. ukiwakataza wanakuchanja na topaz mkuu. Mia

hizo ni ajira kati ya 2millioni za ccm ndo maana hawchukui hatua kwa hiyo dogo kajiajili kwani akiwa machinga mgambo watamunyanganya
wakuu hiyo ajira kiufupi
 
Jamii yetu bana,....... siku mmoja atakapojisahau na sigara then moto utokee ndipo utakapo ona Serikali inashtuka na kuanza kukataza, muda huu hawaoni kama ni tatizo, ni hatari sana kwa kweli
 
Back
Top Bottom