does it worth

asante wiselady vipi kama anakuwa kwenye kundi hilo lakini kwa nje anajionyesha ni mzuri kwako

Chauro msisitizo uko apo kny red,,,pia kuepuka athari kubwa za magonjwa.So not worth at all
 
kama ni ndoa basi ni kujaribu kuongea nae na kusali kutegemea mabadiliko, je pia hakuna trust..so inatemea na hao wawili au kama walifanyiana mabo zamani mara nyingi wanaume sio rahisi kusahau mauzi za wake zao na kuishi na chuki isiyoisha ila ni kuongelea psmoja

kama ni urafiki gf na bf hiyo ni kuangalia mbele maana anaweza kuwa ameona mwinginne na kusubiri sababu ya kumondoa

kikubwa inategemea haya yamekuwepo kwa muda gani, ns je wewe mwenyewe unamakosa ulofanya kumfanya awe hivi? kama labda kumuongelea kwa mtu au labda amekusikia, na unakuwa hujijui
 
asante wiselady vipi kama anakuwa kwenye kundi hilo lakini kwa nje anajionyesha ni mzuri kwako

chauro you being eaten with fears,fear of letting go
on the other hand if your self image is one of the radiant individual who is fearless,
again,all your actions will correspond to this quality.
your self image is a self fulfilling prophecy of sorts.
if you belive that you are unable to do something lets say find the perfect partner or live a stress free life,
your beliefs will affect your self image.in turn your self image will prevent you from taking steps to find the perfect partner
or to create a serene life to your self.
remember you are an artist at living-your work of art is your life
 
I IT DOES NOT WORTH IT: OMG! It happens a lot and let me tell you from experience;Any bad relationship involves emotional abuse and lowering of one partner's self esteem.
Emotional abuse ndo kama hiyo ya mtu kukudharau na kuona huwezi,low self esteem ndo hiyo kuendelea kumpenda na kuwa nae pamoja na hayo anayofanya na hii waga imeambatana na kuona hakuna wa kumpenda au kama yeye.Dunia ni shule,mi ninaendelea kusoma.........
1.There is life without that guy,you deserve better and you can make your life better yourself even when you do not have anyone else.
2.You lack confidence,why listen to someone who discourages you,we need our partners to encourage us and make us better persons.Do not let someones opinion become your reality.
3.God loves you so much,magnify him and not an assclown you met who gives you good sex and disrespect your feelings.
4.If you do not respect yourself and show how much you worth,no one will do,they will always take advantage of you...Have some standards and pride.
5.Love yourself,keep your head up high,smile and thank God for who you are and the fact that you are breathing and when you are happy,happy people will join you,when they do....do not forget your past,RESPECT YOURSELF and have CONFIDENCE.
I have bn through hell in relationship and its time to help others, i also get hurt but by not accepting any sort of disrespect.
 
you said it well michelle

The Following User Says Thank You to michelle For This Useful Post:
hashycool (Today)
 
Thank you Hashycool,its all about giving people some bitter truth we have learnt from experience.Thats why we are at JF.
you said it well michelle

The Following User Says Thank You to michelle For This Useful Post:
hashycool (Today)
 
you said you still love him! is that right?
there is something very wrong with making the same mistake
over and over again,day in and day out.this shows a complete lack of you two self awareness
Figure out what is right and what is wrong in your days and in your life
then set about making immediate improvements.
cause at the end of the day your happiness is of such a great importance.

mmhhh kwakweli majibu yote yako hapa...hii hata mie imeniingia..
 
naomba kuuliza je ina maana yoyote

1. kuendelea kumpenda mtu ambaye anakudisrespect
2.ambaye una feel like he is using you
3.hajali maneno matendo anayofanya kama yanakuumiza hata kama unamuambia
4.ameshaamua kukudharau kwa kila unalosema au unalotaka kufanya anaweka question mark kama vile huwezi au ni wewe ina maana ameshaku undergrade
5.sana sana anahitaji kutimiza tamaa zake za mwili na sio kingine

najua watu wengi wameshakumbana na hayo au mojawapo

je nini mtu afanye anapokuwa kwenye hali hiyo na bado anampenda mtu wa aina hiyo ?

Mdogo wangu, I hope huyo mtu ulishammwaga, au sio??

Maana hata signature yako imekua very exciting:israel:
 
you said you still love him! is that right?
there is something very wrong with making the same mistake
over and over again,day in and day out.this shows a complete lack of you two self awareness
Figure out what is right and what is wrong in your days and in your life
then set about making immediate improvements.
cause at the end of the day your happiness is of such a great importance.

Thank you....
 
naomba kuuliza je ina maana yoyote

1. kuendelea kumpenda mtu ambaye anakudisrespect
2.ambaye una feel like he is using you
3.hajali maneno matendo anayofanya kama yanakuumiza hata kama unamuambia
4.ameshaamua kukudharau kwa kila unalosema au unalotaka kufanya anaweka question mark kama vile huwezi au ni wewe ina maana ameshaku undergrade
5.sana sana anahitaji kutimiza tamaa zake za mwili na sio kingine

najua watu wengi wameshakumbana na hayo au mojawapo

je nini mtu afanye anapokuwa kwenye hali hiyo na bado anampenda mtu wa aina hiyo ?

Chauro pole dear, I believe ulipoona ana matatizo hayo lazima utakua umetumia efforts mbali mbali kuweza kumbadilisha... Kumbadilisha kwabisa mwanadamu ni kazi but kama anakupenda mapungufu yake yatakua nafuu kidogo... Ila ukikaa nae mda but there is no changes then si wako na wala hakupendi... Mtu anaempenda mwenza wake hawezi fanya mambo yote hayo, walau basi yangekua mawili or moja...
 
its better watoto wakajua bab na mama hawaishi pamoja kuliko kuwaona pamoja then hamfurahii pamoja....so jipange then mpige chini uyooooo
 
Nashukuru alikubali kubadilika,ingawaje inawezekana nimebeba mazoea nikifikiri mabadiliko kumwaga sio rahisi ivo isome weakness point yangu ilikuwa wapi! hiyo signature imebeba mengi kaka sina cha kusema zaidi ya hapo.

Mdogo wangu, I hope huyo mtu ulishammwaga, au sio??

Maana hata signature yako imekua very exciting:israel:
 
Nashukuru alikubali kubadilika,ingawaje inawezekana nimebeba mazoea nikifikiri mabadiliko kumwaga sio rahisi ivo isome weakness point yangu ilikuwa wapi! hiyo signature imebeba mengi kaka sina cha kusema zaidi ya hapo.
Dah!!! Kumbe bado imekula kwangu, ngoja niendelee kusubiri kama fisi labda iko siku mkono utadondoka nikaunyakua
 
Nashukuru alikubali kubadilika,ingawaje inawezekana nimebeba mazoea nikifikiri mabadiliko kumwaga sio rahisi ivo isome weakness point yangu ilikuwa wapi! hiyo signature imebeba mengi kaka sina cha kusema zaidi ya hapo.
Dah!! Halafu nilikuwa sijaona hiyo signature...mhhh there's definitely something there
 
naomba kuuliza je ina maana yoyote

1. kuendelea kumpenda mtu ambaye anakudisrespect
2.ambaye una feel like he is using you
3.hajali maneno matendo anayofanya kama yanakuumiza hata kama unamuambia
4.ameshaamua kukudharau kwa kila unalosema au unalotaka kufanya anaweka question mark kama vile huwezi au ni wewe ina maana ameshaku undergrade
5.sana sana anahitaji kutimiza tamaa zake za mwili na sio kingine

najua watu wengi wameshakumbana na hayo au mojawapo

je nini mtu afanye anapokuwa kwenye hali hiyo na bado anampenda mtu wa aina hiyo ?
Chaura,
I don't know if your name is related to Indian's "Chaura" which I kinda like.Mimi si mtembeaji wa forum hii ya mapenzi.However naona ina watembelaji wengi.Hilo limenifanya niwe curious kuona kulikoni humu?However I have a few advice for you. First off, love has this timeless, transcendent quality to it, there's no need to get rid of that because it can change forms and still be love. If your being-together is over, there's nothing to stop the love from changing into a form appropriate for the current state of your relationship.
However, no pun intended, this is a rhetorical question. You know the answer to your own question because you're the only one who knows the in and outs of your relationship.

However, loving someone obviously does not mean that you should forget your own sense of being and self respect. You shouldn't bear with disrespect... You shouldn't bear with mental or physical abuse. It's obvious.

But if you're asking why this happens - there may be several reasons. Sifahamu mengi kuhusu wanawake wengi,haswa inapokuja kwenye different cultures, but I have noticed that generally a considerable section of our African women, believe that they must remain forever and ever with the man they love and are in a relationship with. And this is not just because they love their partners, but also because they seem to be afraid of society and also adhering to cultural requirements. You might be a victim of those circumstances. Many of you guys are afraid to show society that you have the right to choose a man for yourselves and throw out the wrong kind of men from your lives. It's unfortunate. But don't let yourself down just because you fear society. Like I have seen, you mentioned something about family. Society will always judge and be stereotypical. Nothing can ever change that basic human mentality. So please don't bother changing unchangeable. Just stay focus and be self aware. Be independent too.

However, alternatively, some women don't even treat their partners with any love or affection. In the hopes of being "modern-day women" they sort of go all out... stretch the boundaries of respect. Forget that they are in a relationship for love. So don't over judge your partner. For instance, if your husband/boyfriend talks to you badly or snaps at you, don't be quick to victimize yourself. Remember that you too could/would talk to your partner badly if you have a bad day or if are just irritated. It all depends on culture. Some culture does not appreciate bad talks, they think it is disrespect.

Bottom line on this,kama ni kweli anaku ignore,tatizo ni kubwa kuliko unavyofikiri.Sometimes wanaume hawataki kuongelea porojo porojo na wakati issue za msingi wanawake sometimes wanazi ignore.Mentality za wanawake kwa maoni yangu sometimes zimejikita kwenye kumdhibiti mwanamume badala ya kuzingatia ukweli kwamba you are in the same boat figghting for the same family/life objectives.Hilo peke yake lina weza kumfrustate mume wako.Ile mentality ya "my world against yours" ni ya kufuta kama kweli mko pamoja as a copule.If you talk and discuss your lives and problems as a couple, you will feel less and less like a victim.

Kama ukishindwa ku resolve,then my advice is end the relationship.Na ukichukua uamuzi huo,then njoo hapa utapewa tena ushauri wa namna ya kuhandle break up.
Wasalaam.
 
Acha kikubwa sana kuna nyongo zilitibuana hata wa kumweleza hakuwepo nikajumlisha toa hilo li signature likatokea hakyanani.
Na ivi mmeanza kulichambua ngoja nilifute!

Dah!! Halafu nilikuwa sijaona hiyo signature...mhhh there's definitely something there
 
Nashukuru alikubali kubadilika,ingawaje inawezekana nimebeba mazoea nikifikiri mabadiliko kumwaga sio rahisi ivo isome weakness point yangu ilikuwa wapi! hiyo signature imebeba mengi kaka sina cha kusema zaidi ya hapo.
kwahiyo unataka kusema ndioumededicate mabadiliko yake kwenye saini siyo??

He is such a lucky dude
 
Soma jibu la Finest mabadiliko hayawezi kwenda na iyo signature bwana isome nje ya mstari utaelewa...He is very lucky indeed!!!...........i wish kama angejua ...........ivi ushawahi kuwa na kitu ambacho huwezi kumuambia mtu kwa sababu ni nje ya duara huwa tunasemaje.

kwahiyo unataka kusema ndioumededicate mabadiliko yake kwenye saini siyo??

He is such a lucky dude
 
naomba kuuliza je ina maana yoyote

1. kuendelea kumpenda mtu ambaye anakudisrespect
2.ambaye una feel like he is using you
3.hajali maneno matendo anayofanya kama yanakuumiza hata kama unamuambia
4.ameshaamua kukudharau kwa kila unalosema au unalotaka kufanya anaweka question mark kama vile huwezi au ni wewe ina maana ameshaku undergrade
5.sana sana anahitaji kutimiza tamaa zake za mwili na sio kingine

najua watu wengi wameshakumbana na hayo au mojawapo

je nini mtu afanye anapokuwa kwenye hali hiyo na bado anampenda mtu wa aina hiyo ?

hapo ndo penye tatizo Chauro....u cant eat ur cake and have it
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom