does it worth

Chauro

JF-Expert Member
Aug 20, 2010
2,968
1,476
naomba kuuliza je ina maana yoyote

1. kuendelea kumpenda mtu ambaye anakudisrespect
2.ambaye una feel like he is using you
3.hajali maneno matendo anayofanya kama yanakuumiza hata kama unamuambia
4.ameshaamua kukudharau kwa kila unalosema au unalotaka kufanya anaweka question mark kama vile huwezi au ni wewe ina maana ameshaku undergrade
5.sana sana anahitaji kutimiza tamaa zake za mwili na sio kingine

najua watu wengi wameshakumbana na hayo au mojawapo

je nini mtu afanye anapokuwa kwenye hali hiyo na bado anampenda mtu wa aina hiyo ?
 
Jifunze kutokumpenda tafuta mwingine!Mapenzi ni kuheshimiana na kujali...kama hupati hivyo hupendwi unatumiwa!
 
naomba kuuliza je ina maana yoyote

1. Kuendelea kumpenda mtu ambaye anakudisrespect
2.ambaye una feel like he is using you
3.hajali maneno matendo anayofanya kama yanakuumiza hata kama unamuambia
4.ameshaamua kukudharau kwa kila unalosema au unalotaka kufanya anaweka question mark kama vile huwezi au ni wewe ina maana ameshaku undergrade
5.sana sana anahitaji kutimiza tamaa zake za mwili na sio kingine

najua watu wengi wameshakumbana na hayo au mojawapo

je nini mtu afanye anapokuwa kwenye hali hiyo na bado anampenda mtu wa aina hiyo ?

chauro dia,huyo hafai kabisa,utaishia kuumia tu moyo wako. Ni bora ujivue maana hakuthamini kabisa.
 
Ni moja kati ya mambo yanayoongeza maambukizo ya ukimwi katika familia...yani mapenzi yenu ni kitandani tu ndio patamu,tena mnapeana kwelikweli kwa staili zote na kumbuka hii huwa ni pekupeku!
Baada ya hapo kila mmoja na hamsini zake..yani ni kutumiwa tu! Haya ni mapenzi FEKI hayatakiwi
 
my dear najaribu kuangalia yale yaliyowahi kutokea naamini bado kuna watu wanayapata ni vizuri watu kujifunza na sio kurudia makosa waliyofanya wengine

chauro dia,huyo hafai kabisa,utaishia kuumia tu moyo wako. Ni bora ujivue maana hakuthamini kabisa.
 
ndo hapo napolitazama suala la infi kwa macho mawili sio haya yanayoendelea kuna mapenzi kweli au kutimiza kiu zetu

Ni moja kati ya mambo yanayoongeza maambukizo ya ukimwi katika familia...yani mapenzi yenu ni kitandani tu ndio patamu,tena mnapeana kwelikweli kwa staili zote na kumbuka hii huwa ni pekupeku!
Baada ya hapo kila mmoja na hamsini zake..yani ni kutumiwa tu! Haya ni mapenzi FEKI hayatakiwi
 
lizzy najaribu kuangalia yale nayoona mimi ni mama wa familia tayari

Jifunze kutokumpenda tafuta mwingine!Mapenzi ni kuheshimiana na kujali...kama hupati hivyo hupendwi unatumiwa!
 
lizzy najaribu kuangalia yale nayoona mimi ni mama wa familia tayari

Pole mama!!Ila usitumie familia kama sababu ya wewe kunyanyasika!Jaribu kuangalia hizo tabia zimeanza lini...kama hakua hivyo tangu mwanzo jaribu kutafuta chanzo cha mabadiliko yake!Muombe mkae chini akwambie tatizo liko wapi!Usipokua na furaha hata familia hutaweza kuiangalia vizuri...jijali mama!Pole kwa mara nyingine!
 
lizzy najaribu kuangalia yale nayoona mimi ni mama wa familia tayari

jaribu kusimama kwa miguu yako miwili....mapenzi ya namna hiyo mwishowe utaletewa magonjwa na utaleta mateso kwa watoto.....my dear chukua hatua.....atakuua huyo
 
everything is always created twice,first in the mind and then in reality
watch out of what you think
 
dada preta hapa naongelea wale wanaokumbana na hayo nikijaribu kungalia hasa suala zima la hawa kaka zetu wanaosifia infidelity kuna kitu hapo au ndo hayo yanayoendelea

jaribu kusimama kwa miguu yako miwili....mapenzi ya namna hiyo mwishowe utaletewa magonjwa na utaleta mateso kwa watoto.....my dear chukua hatua.....atakuua huyo
 
hayo si mapenzi,utaburuzwa mpaka dunia uione chungu.huko ni kutojiamini wewe mwenyewe kukubali kuwa na relation ship ya aina hiyo
 
dada preta hapa naongelea wale wanaokumbana na hayo nikijaribu kungalia hasa suala zima la hawa kaka zetu wanaosifia infidelity kuna kitu hapo au ndo hayo yanayoendelea

hapa dada chauro nimegundua kuna kitu kama hofu imekuingia kuhusiana na swala la infidelity....hawa wakaka wa huku kuongelea suala hilo...mimi ningekushauri jifunze, unachoona kinakufaa kichukue...sio wote wanaoongea mambo haya ni watendaji.....hapana....
cha kufanya kaa chini....chekeche faida na hasara.....uchukue uamuzi sahihi
 
what do you mean?
chauro this is about your personal growth
thoughts are things,material messengers that we send out to influence our physical world.
what you think of me thats how i will become to you........
 
hapana naelewa sio wote wanafanya lakini haya mambo yapo sana hatakama hatutaki kuamini zaman nilikuwa siamini kama kuna vitu vinafanyika lakini dada preta huwezi kuamini yanayofanyika chini ya jua naamni hata Mungu anayaogopa sina hofu ila haya mambo yanafanyika sana na nimesikia watu wanalalamika sana sasa huwa najiuliza maswali mengi kuhusiana na hayo nayosikia na kuona

hapa dada chauro nimegundua kuna kitu kama hofu imekuingia kuhusiana na swala la infidelity....hawa wakaka wa huku kuongelea suala hilo...mimi ningekushauri jifunze, unachoona kinakufaa kichukue...sio wote wanaoongea mambo haya ni watendaji.....hapana....
cha kufanya kaa chini....chekeche faida na hasara.....uchukue uamuzi sahihi
 
sawa nakubali vipi kama unafanya negative all the time natakiwa kuendelea kurate positive au niwekeje

chauro this is about your personal growth
thoughts are things,material messengers that we send out to influence our physical world.
what you think of me thats how i will become to you........
 
sawa nakubali vipi kama unafanya negative all the time natakiwa kuendelea kurate positive au niwekeje

you said you still love him! is that right?
there is something very wrong with making the same mistake
over and over again,day in and day out.this shows a complete lack of you two self awareness
Figure out what is right and what is wrong in your days and in your life
then set about making immediate improvements.
cause at the end of the day your happiness is of such a great importance.
 
Chauro msisitizo uko apo kny red,,,pia kuepuka athari kubwa za magonjwa.So not worth at all
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom