Dodoso:jamhuri kushindwa kesi mahakamani:waendesha mashtaka wa jamhuri wana weledi wa kutosha?

Mpigaji

JF-Expert Member
Feb 6, 2011
384
42
Kwa mara nyingine tena Serikali imepigwa mweleka katika kesi iliyofungua dhidi ya aliyekuwa balozi wa Tanzania nchini Italia.Nini maoni yako kuhusu weledi wa Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashitaka nchini na ile ya mawakili wa serikali??
 
Back
Top Bottom