DODOMA wine haipatikani, kwanini?

Mphamvu

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
10,702
3,288
Rejea kichwa cha uzi.
Mimi ni mzalendo sana, kwa muda mrefu nimekuwa mtumiaji wa mvinyo mwekundu(kwa vile bia chungu), nilikuwa napata uchungu sana kununua zile za Hispania, Italia, Ufaransa na Afrika Kusini, kwa kuwa ni za kigeni na sina uhakika na darajia zake wakati wa utengenezwaji.
Tanzania Distillers wakazindua mvinyo wa Dodoma kama mwaka hivi uliopita... Nikafarijika kwa kuwa hii kitu ni kipenzi changu na inatengenezwa nyumbani Tanganyika.
Lakini hii mvinyo imepatikana kwa unadra sana wandugu, leo nimezunguka zaidi ya bar locale sita kutafuta hii mambo, mwisho nikaipata kwenye pub moja ya kisharobaro kwa bei ya 12'000/= kwa chupa ya 750Ml, bei ambayo sio kabisa!
Sijajua kama tatizo ni promo ndogo au usambazaji umekuwa duni...
Naomba kuwasilisha,
Alhaji Andare!
 
Nililetewa na bro wangu wiki mbili zilizopita nikadhani zipo tu mitaani.
Kusema ukweli, inapendwa sana na wadada wa kizungu huku States, siwezi kuamini kama itakua haina soko nyumbani.
 
eh! we kwani uko wapi? huenda ukawa uko tandahimba. nimetoka kununu sasa hivi kwenye grocery ya Mangi Tsh 9000/=
 
zabibu imekuwa chakula huko dodoma kwa hiyo kiwanda kinakosa mali ghafi maana chakula hamna
 
Nililetewa na bro wangu wiki mbili zilizopita nikadhani zipo tu mitaani.
Kusema ukweli, inapendwa sana na wadada wa kizungu huku States, siwezi kuamini kama itakua haina soko nyumbani.
kumbe?

Watasha wanapenda sana vyetu eh? Nasikiaga hata SAFARI LAGER inanyweka RSA ile mbaya...
 
eh! we kwani uko wapi? huenda ukawa uko tandahimba. nimetoka kununu sasa hivi kwenye grocery ya Mangi Tsh 9000/=

kumbe?
Kuna kagrosari kameniuzia 12k pamoja na AC...
Sio kesi lakini, mie niko Mikocheni Uswazi. Baa zote, Marwa, Manso, 5 Ways, Forest, Bervely Hill, Mongele, Kwa Mrosso, Kwa Riziki, Kontena hakuna hii kitu, nimekwenda kuchukua kigrosari fulani karibu na Shopper's Plaza.
 
Haipatikani kwa chupa za plastiki.

kuna thread ulidai kuwa una nyumba zaidi ya moja. Nikajua tu kama zitakuwa za urithi,
kamanyola bila jasho!
Mtoto wa kiume unakuwa na maigizo kama nini bwana? Nguo ya kuazima haisetiri makalio ndugu, wacha madharau hayo!
 
Njoo tabata
nadhani zikitoka
idodomia zinaanzia
pale zeen zinaingia
mitaa mingine! Kitu
kinaenda kwa mwekundu
mmoja!!
 
Njoo tabata
nadhani zikitoka
idodomia zinaanzia
pale zeen zinaingia
mitaa mingine! Kitu
kinaenda kwa mwekundu
mmoja!!

mantakhof alhabiby flora.
Be spesifik na Tabata unayokaa ili nikija iwe rahisi kukutafuta!
 
watu humu ndani kumbe wengi ni walevi sana

mie si mlevi, ila ni mnywaji.
Mpango mzima umeingia luba kwani nimekosa kifungulio cha chupa ya mvinyo wangu. Ndo mpaka kesho tena?
 
Back
Top Bottom